@veronicasimulizi: FROM ZERO TO HERO SIMULIZI YA MWANADADA HAPPINES VOL 01 Hii si simulizi ya mafanikio pekee Bali ni safari ya mwanamke aliyepitia changamoto, maumivu na vipindi vigumu, lakini hakukubali kushindwa. Simulizi ya Happines itakufundisha kuwa mwanzo mgumu hauamui mwisho wako. ✨ 🎧 Sikiliza hadi mwisho… huenda ukajiona ndani ya safari yake. Veronicasimulizi | Hadithi ya Kweli, Safari ya Mafanikio.