@faridabeautyacademy: BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema DARASA LIJALO LITAANZA 01.09.2026 Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi 📌TUNA MADARASA YA JIONI KWA WAAJIRIWA TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇 https://youtu.be/mP6ipdb3mqI?si=FEBgScDmOyMq3VGF
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Monday 17 August 2026 09:15:37 GMT
Music
Download
Comments
witynizzoh :
Yani ww dada mungu akubaliki sana kwa moyo wako wa upendo Yani ukijuwa kitu au ukipata kitu kipya lazma ushee na wa Tanzania wenzio mungu akubaliki sana na abariki kazi ya mikono yako,asante sana kipenzi kwa upendo wako
2026-08-18 12:02:03
4
HAMISA abdur :
farida uchoyo wa ujuzi anga najivunia kusome falida mm❤️👌
2026-08-17 10:31:52
2
neyhozzey_ :
Farida ni mmoja tu🥰
2026-08-19 04:03:16
2
Dagaro123 :
Asanteee sana kwa roho nzuri uliyonayo 😘😘
2026-08-17 17:55:45
2
Neema Dotto :
ahsante Sana
2026-08-20 03:20:57
0
kisura :
upo vzr sana wew dada
2026-08-19 21:32:33
0
gladness tido :
asante
2026-08-17 10:22:11
1
flora. mmass :
ukoviziri
2026-08-19 16:23:22
0
Winnie Katana :
wow nimependa sana...asante 🥰
2026-08-18 08:58:08
0
fetty :
Waoo asante sana
2026-08-19 18:35:18
0
sophiabakary509 :
Asante huna choyo mwanangu mungu akubariki sana upate uvumbuzi zaidi na zaidi. Amiina
2026-08-19 09:31:19
1
Rehema Senka :
farida natakaunifundishe mm nijuwe zaid kusuka
2026-08-18 15:29:58
0
Mwajuma Massanda :
ahsante
2026-08-17 10:43:14
0
Nani kama farida,,, tangu nimfaham mwak 2018, cjawah jutia..
2026-08-18 09:01:24
0
hope beauty saloon :
Soon nakupa mrejesho dada Mwenye roho safi 🥰🥰
2026-08-17 20:29:14
0
AWEZAI marie :
❤️❤️❤️
2026-08-18 21:21:14
0
elly cute 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-08-17 14:35:05
0
Rosewaitara :
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-08-17 12:52:38
0
dyda :
👌👌👌
2026-08-17 10:27:42
0
Rebecca Séraphine :
🥰🥰🥰
2026-08-17 10:27:05
0
bongerize2 :
🥰🥰🥰
2026-08-19 10:02:56
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.