@binti_waamani: Moyo ukimweka mja wa Allah mbele ya Allah, jipange kuumia. Kwa sababu umempa kiti cha Mtoaji wa Riziki, halafu unategemea riziki ikupe amani. Penda. Lakini penda kwa ajili ya Allah. Mpende kama zawadi, sio kama Mungu wako. Kwa sababu ukishikilia Mtoaji, riziki inakufuata. Ukishikilia riziki na kumwacha Mtoaji, unaweza kupoteza vyote viwili. #Balance #MapenziYaAllahKwanza #Imani #quran_kareem #allahﷻ

luluAlly
luluAlly
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 09:22:39 GMT
123166
16300
357
1702

Music

Download

Comments

salmasaid_znzyetu
Salma Said :
umeweka background ambayo hatuwezi kusikia vizuri unachoeleza kutokana na masikio huwa hayana uwezi wa kusikiliza vitu viwili kwa wakati mmoja
2026-08-17 18:11:56
40
simple.treats
Simple Tasty Ideas :
Jazakillah kwa kutufikishia,sisi wenye wasiyokuwepo Allah Atujalie kua miongoni mwa watu wa kuskia na kutii
2026-10-09 07:54:10
8
sabraanganzo
sabraa ng'anzo 001 :
mashalah
2026-08-17 12:01:13
37
madrasatu.alwahha
Madrasatu Al-wahhaab :
Ukht Mashallah.. unakitu unaweza kuwa msaada mkubwa KATIKA jamii kwa manufaa ya Waislam wenzako najamii kwa ujumla
2026-08-17 09:40:55
55
user4384679597821
Mr. Yahya :
Great
2026-08-17 17:48:21
6
malkia.ramadhan
Malkia Ramadhan :
MashaAllah tabaraakallahu shukran habibty 🌹
2026-08-18 21:04:24
6
jumeirahshop
Abuu huzayr shop :
maashaAllah maashaAllah hongera SANA na mw MUNGU Akuhifadhi umetufikishia vema SANA aki waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh ☺️😊
2026-08-19 16:34:50
6
latifakassim86
Latifa Kassim :
maashallah unasauti nzuri na umetulia sana maashallah
2026-08-19 09:27:08
8
allymdimu2
allymdimu618 :
jazakallah kheyri
2026-08-17 18:34:46
8
user2761715575739
Lalyta :
MashaAllah 🥰😘
2026-08-18 03:29:53
5
zakzak9659
pato :
Allahu Akbar
2026-08-18 16:53:37
6
azizasaidi949
Aziza Saidi :
shukran 🥰🥰
2026-08-17 18:53:21
7
fikirik1
FICK JAY :
Mashallah
2026-08-18 13:30:36
6
user7132079710494
عثمان 💙💙🫶🫵 :
mashaallah Allah akuhifadhi san my ukhty
2026-08-18 19:38:43
5
mtanzania2
ruqqaiyyah :
mashallah ukhuti kwa kutumia mda kutukumbusha
2026-08-20 08:21:23
5
fthma_4
fthm_4 :
maashaallah
2026-08-18 17:45:29
6
lujaina.hub
lujaina hub :
nimekupenda dada angu mwema 🥰🤲🥰
2026-08-19 18:39:34
6
salmasaid_znzyetu
Salma Said :
kwa hivyo unapojirikodi jitahidi kuweka sauti yako pekee usiedit video kwa kuweka kelele nyuma ya sauti yako
2026-08-17 18:12:26
12
yusrashabani2345
cute😍 :
Masha'Allah
2026-09-07 04:38:47
5
faturi.hussein
Faturi Hussein :
🥰 amazing MashaAllah 🥰
2026-08-18 05:26:22
6
hafsa40817
HAFSA :
Allahu akibarh
2026-08-17 11:17:45
23
user9704025686250
Nassir :
Mashaallah
2026-08-17 09:33:39
16
mwanaidi.ismail69
Mwanaidy Ngowi :
una group whatsap la kukumbushana?
2026-08-18 06:34:05
8
mariam.sappa
mariam sappa :
Mashaalah Allah akubariki habibty
2026-08-17 21:14:16
7
military_mind5
military_mind5 :
Masha Allah nice explanation in Swahili 👍
2026-08-18 03:15:34
12
To see more videos from user @binti_waamani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About