@ashmar_quotes: SUBRA HULETA KHERI. Kupata na kukosa ni vitu viwili tofauti, lakini vyote ni sehemu ya maisha. Usijione bora kuliko wengine unapopata, wala usikate tamaa unapokosa. Kila jambo lina wakati wake, na kila riziki ina muda wake ulioandikwa na Allah. Leo unaweza kuwa na, kesho ukakosa; na leo ukakosa, kesho ukapata. Muhimu ni kubaki mnyenyekevu unapopata na mwenye subira unapokosa. 🤍🤲✨#fy #contentcreator #lifetips #reallife #trendingvideo @TikTok @tiktok creators

🌸~♡Ashmar~🦋🥰
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 09:48:57 GMT
10182
568
9
101

Music

Download

Comments

user8143986913705
ibitisami :
Sahihi😊
2026-08-18 16:21:05
0
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Hakika
2026-08-20 20:52:08
0
user1873222515861
ukhuty umuu🥰😘18 :
♥️♥️♥️yaan hii yang kbx 😂🙌🏼🙌🏼
2026-08-17 14:05:34
0
shedrackluambano7
Shedy Issack :
🥰🥰
2026-08-23 17:08:14
0
jaivahaweeeh3
jaivah aweeeh 🔥🔥🔥☠️🫵💯💯💯 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-17 17:37:20
0
thomas.kelvin267
,,, Thom ⁰⁶⁶ "😏 :
🙏🙏🙏
2026-08-17 10:48:34
2
omarbakarali
Omar Bakar Ali :
😳😳😳
2026-08-17 15:21:53
1
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About