@beyond_cars1: NGORIKA, MWAMBA WA MWENDO, MWAMBA WA KASKAZINI, WAHENGA WANAELEWA HIKI CHUMA #BeyondCars #Usafiri #Usafirishaji #fundimagari

Beyond Cars
Beyond Cars
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 10:01:09 GMT
74995
3933
619
175

Music

Download

Comments

inno24042
Innocensia :
Buffalo saibaba
2026-08-25 08:44:40
0
hagaisohansingh
Hagaisohansingh :
Siwezi isahau ile ajali ilitokea pale makumira Karibu na chuo cha mshikamano Ngorika na Daladala ya Sharon.... Daladala ya Sharon inatokea USA na NGORIKA Ina Toka Arusha kwenda Dar... ilikuwa mida ya Asubuhi.. kwenye Daladala walikufa watu 19 na NGORIKA alikufa Dereva siwezi isahau kabisaa ilikuwa 2011 ... Dereva qa Ngorika aliteseka ... kwenye Daladala watu wanatoka ubongo tuu..
2026-08-18 18:13:13
11
ferouzmasoudriamy
Ferouz Masudi :
kulikua na chuma ya Ngorika Dar Arusha ilikua imendikwa Macedonia inaendeshwa na jamaa wa Tanga anaitwa Athumani Dodoa ile mashine ilikua inatembea ni balaa
2026-08-18 04:12:00
23
madamtabitha1
Madam Tabitha :
mmiliki ni mberesero tulikua tunakaamae kijiji kimoja
2026-08-18 10:33:40
2
chikimchoma
chikimchoma :
Dereva kinara wa mwendo na makini kabisa wa Ngorika aliitwa MANYAU, bila huyo sijapanda Ngorika, kuna siku nikitoka nayo Moshi saa 12 tukaingia Dar saa 7:30 mchana, MANYAU popote ulipo Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu.
2026-08-18 15:45:12
13
mshitu5
mshitu :
ngorika bado zipo n jina tu limebadilishwa.... kimotco, mberesero,kaprikon n.k
2026-08-18 03:33:24
8
lamecksamweli6
Gagne ☺ :
mwamba wa kisangara dereva matata Marehemu Kingwamba alikuwa mwamba kweli kweli kama unamkumbuka mwamba Kingwamba like hapa
2026-08-19 17:29:07
10
user6083726307405
Edwin :
hizo basi zilikuwa zinatoka mbeya moshi
2026-08-18 03:24:52
2
user7215305457155
George Boniface :
ngorika kama ngorika zilikuwa za Moto sana... ila inasemekana ngorika kwasasa ndo kapricon japo Sina uwakika
2026-08-18 02:40:42
6
user79863284035012
💍Pînk* 🦋 Lovely💎🧸🍃 :
Nilikua ñapenda hili gari mimi mpk leo siachii kulitajaa😂😂Ngorika sai baba Buffalo àlooh yalikua magari yangu pendwa 🙌
2026-08-24 09:23:14
1
jumamohamedi8
Jumah Mohamedi68 :
🤣🤣Saka Saka bus zote zilizotangulia zitapitwa njiani saa 7:30 Arusha
2026-08-24 10:25:45
2
mrswai06
mr swai98 :
hizo chuma Zina nikumbusha kipindi hicho 2004 tupo shamban kwenye palizi ikipita hiyo chuma tunambiwa saa SITA tayar muda wa kula alooo zinatembea hatar😁
2026-08-20 17:47:12
6
chagarboy1
chagaaah :
kulikuw na ngorika inaitaa masogang
2026-08-18 04:48:43
2
irenetarimo26
irenetarimo677 :
lilikuwa linakimbia sana
2026-08-20 04:17:26
1
kestarwiz461
KE STAR WIZ :
ngorika sito isahau Tang - Arusha
2026-08-18 10:54:16
1
happyjmongi2
Happy J Mongi :
sqa nane tu ipo arusha ilikuwa inapepea
2026-08-20 10:33:43
1
dorisngowi19
Doris Ngowi :
nilikuwa natoka moshi saa 12 nafika dar sita mchana duuu
2026-08-19 13:46:31
2
user19509834469570
user19509834469570 :
kweli bhana
2026-08-18 02:43:15
2
bothan854
Bobo :
Hahaha mwamba kabisa huyu
2026-08-18 11:34:36
1
renalda18
Renalda Mbise :
Ngorikaaaa napajuaa 😁😁😁
2026-08-17 21:22:14
2
fadhilmsechu
fadhilmsechu :
mwendo kasongo🥰🥰🥰
2026-08-22 12:54:13
1
ally.tz49
Ally tz :
kuna ngorika ilkua kipis dereva wake alkua anaitw athuman kila sku alkua wa kwnza kufika moshi
2026-08-23 12:47:59
1
imanuel.matei
Imanuel Matei :
mim nimepanda gorika buffalo zilikua zna shinning sana😂😅🥰
2026-08-22 20:41:43
1
boscotemba
Bosco_temba :
bus langu kipindi nasoma primary olevel Moshi 2002-2011 aise hii chuma masaa daima!
2026-08-22 19:51:05
1
master.plan69
MASTER PLAN :
kisangara mabegani ngorika
2026-08-24 20:53:53
1
To see more videos from user @beyond_cars1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About