@pascal_mushi12: Replying to @user2094916193330 🍳Ziko aina zaidi ya 1000+ za mapishi ya mayai ila.......Leo tujifunze Boiled, Fried, Scrambled, Omelette & Poached Eggs 🥚✨ 👉 Wewe unapendelea aina gani za mayai? 🔥👨‍🍳 #Mayai #Eggs #EggRecipes #CookingLesson #ChefPascal

Pascal's Kitchen
Pascal's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 10:51:13 GMT
102797
3866
115
376

Music

Download

Comments

neemaoscar915
neemaoscar915 :
nioneshe Benedict egg
2026-08-17 12:36:43
0
_barnabadominic
_barnabadominic :
omelette ya mboga mboga = spanish omelette 🙌
2026-08-17 20:52:41
1
jaffarhijatfaraj
Sultana :
Kuna sun side up
2026-08-18 09:09:06
0
madamglm11
Madam GLM :
😋😋😋😋 yote nitakula lakini yasiwe mabichi
2026-08-17 11:25:26
36
sucrochet24
Susana Baseka :
Sio Fred Egg ni Fried Egg
2026-08-17 16:29:02
7
double.e44
double E :
Benedict eggs vip
2026-08-17 20:41:19
0
robinbubelwa
Robin Bubelwa :
gotta u bro
2026-08-17 11:54:45
1
vannessa.nicholau
Vanessa nicholaus🇺🇲🇹🇿❤️🥰 :
gooood
2026-08-18 04:56:07
0
rehemaissa72
Reynaissa :
Nilikua najua aina nne tu za mayai asante.
2026-08-17 15:27:43
5
user7633100282133
Primrose🌹 :
kaka apo kwenye season ndio nin kwenye viungo😂😂😂😂😂😂
2026-08-17 11:17:30
6
suzybabe225
✨Suzy babe🦋✨ :
Na spanish ni nini 😂😂😂
2026-08-17 11:48:34
7
naghuhiwamndeme
Naah❤️❤️ :
Spanish egg ndio ipi samahani alfu uko wapi jamn mm napenda mapishi kweli
2026-08-17 17:42:04
5
justine_danny_dawson
Justin Danny :
Boiled… tamka boild
2026-08-17 12:39:14
0
its..me5973
PESA ZIKO BANK 🏦 😁😁🤣 :
Asante bro
2026-08-17 12:52:13
2
the_enlightened26
Shinning Grace✨🌹 :
unasema watu wengi nayajua haya 😳😳 watu gani au mimi sio mtu😂😂😂
2026-08-17 16:07:11
2
kaluboy997
kalupeter :
kwa nn chefs wengi hampendi kuelezea, egg Benedict
2026-08-18 01:09:09
0
fatmarashidy458
Fatma Rashidy :
Ninavyojua kwenye breakfast kuna aina 4 za mayai tu. 1 Spanish omlt eggs 2 omlt plain eggs 3 scrambled eggs 4 boiled eggs poached eggs ni kwa wale wenye matatizo ya kiafya mf kisukari nk. Hizi ndizo aina za mayai utayapata kwenye breakfast.
2026-08-18 01:25:50
0
roseleetz
@official roselee :
thanks umenikumbusha 🥰
2026-08-17 16:48:49
2
ochu_777
athman :
hayo yote mayai ya kuku au ya wanyama ganii
2026-08-18 01:26:02
0
user6182501944164
chef Dante tv :
kaka uko smart sanaa
2026-08-17 12:40:13
1
og_baron001
YøunG ẞarØn :
kwenye aina za mayai unaweka na fried rice egg curry bro unaniangusha bro
2026-08-17 16:33:29
2
neema.kikube
Ney Kikube :
nipe mayai ambayo ni over maana mengine siwezi
2026-08-17 15:30:45
2
queenmiracle4
Queen Miracle@🫶💕 :
me ntazingatia ova basi memgine tutajuwa😏😏😂😂
2026-08-17 16:04:48
1
vilmahsignature.travel
Vilmah Signature Travel Ltd :
Na je mayai yale tunayopikaga kama mboga ya ugali tunaitaje?au hayamo kwenye list jmn😁😂
2026-08-17 16:08:54
2
rafiki.kobae
𝐑𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢 𝐊𝐨𝐛𝐞🐢 :
haya na hili yai linalo itwa "jicho la mke Mwenza" laitwaje na hao wapishi wa kizungu?
2026-08-17 16:19:07
2
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About