ila kumuelewesha mtz kazi sana STAND SIO PARKING😁😁😁
2026-08-18 04:07:25
8
wazir@ :
yan kuna mabasi zaid ya 2000 yataenea kweli hapo mbez
2026-08-18 03:44:20
2
heartful202 :
Hio ni stendi sio parking. Mabasi yanapaki kwenye Yard. Ila wakija kuanza safar wanaenda Magufuli. Na sio kwamba muda wote basi zinapaki tu. Asilimia 80 ya mabasi yanakua njiani na yard asilimia 20 tu yanakua magufuli. Kwaio acheni kupotosha watu
2026-08-18 04:39:39
2
mustaphar freedom :
nishida
2026-08-17 19:19:42
0
silent_king :
Hiyo mbezi gani ama sio kule magufuli
2026-08-17 20:21:17
0
engineer :
kinachopiganiwa ni ushuru wa stendi na sio kumsaidia mtanzania
2026-08-18 04:37:30
1
3333 :
tilisho na esta wamegoma siyo
2026-08-18 05:30:50
0
Mr stayfocus029 :
patishe pasitoshe gari lazima ziishie stend ya magufuli...Tunataka stend ichangamke watu wapate risk
2026-08-18 05:33:45
0
Tatu Hamza :
jaman watatutesa abiria wenye kipato Cha chini waache kama ilivyo wapakie kokote lakini waingie magufuli wakalipe ushuru basi
2026-08-18 02:42:14
0
Kalikali :
hapatoshi😅😅😅kabisa
2026-08-18 14:34:11
0
rogous :
weka gari mbezi zote hata zikiwa b,kama stend za dharura kuna kibali maarum sio kujipangia
2026-08-17 18:09:44
1
dullah_decoration :
Bado shabiby
2026-08-17 17:59:25
1
Jackson :
haziwezi tosha kwakweli
2026-08-18 05:47:20
0
kiamdutz :
pakija kuwaka moto hapo matajir woote wazimie?
wanataka nini jaman watu wanalinda mali zao kwa kujitenga mbali mbali
2026-08-18 07:45:19
0
wizzy khalfa :
bd abood
2026-08-18 06:51:59
0
The best Liamjr :
gar zote ztatosha
2026-08-17 20:16:47
0
Kalikali :
inatakiwa kuwa na ofis mbili
2026-08-18 14:35:46
0
MenDontlie :
bado shabiby😄😃
2026-08-18 04:25:33
0
@ivanboy863 :
Bm atuleti gari mbez
2026-08-18 00:37:02
0
Savimbi001~ :
acha hizo wew,,kwani zinashinda na kukesha hapo?,,
2026-08-18 03:58:15
1
Felician Mayalla :
katarama bado
2026-08-17 16:21:12
1
Salim@17 :
kweli kaka nakubali kesho tar 18 tuko shekilango pale mambo ya siwe mengi vyuma bado vinaingia tu
2026-08-17 13:09:24
1
Shofeli :
wanao hoji gari zitatosha Magufuli nawaona wote ni maandazi maana magufuli aliejenga hio stand alikua anajua kwamba basi ni nyingi na bado akajenga asa wewe unataka stand ivunjwe au
2026-08-17 19:49:54
1
SHINOTEE👑✌️ :
chalamila ni ndugu yangu na Mimi ni shabiki yake mkuu lakini ni mtu wa kukulupuka sana
2026-08-18 06:18:06
0
Eddy Yusuf :
si ndyo wanavyotaka wenye mkoa wao!! bas acha tufanye watakavyo ili wafahamu changamoto tuliyokuw tunaikwepa hapo mbezi.
2026-08-18 06:35:34
0
To see more videos from user @tanzanialuxury111, please go to the Tikwm
homepage.