@kammodo11: Replying to @salmahhatun1 aitbaar nahi karna, qayamat bonge la dude kutoka kwa Abhijeet batacharya#viral #fyp #bollywood #tiktokindia #tiktoktanzania🇹🇿

kammodo
kammodo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 11:27:57 GMT
113649
7370
122
359

Music

Download

Comments

fatma.khamis068
fatma khamis :
qayammat
2026-08-17 17:20:43
12
user812570950354chimamy
laty girl :
jina la movie plz
2026-08-22 01:09:04
2
hawa.sarahan
Hawa sarahan :
😭😭 nimeshajifunza hilo ulimwengu umesha nifunza
2026-09-23 08:40:30
2
khamiskhan727
Farhad Salman :
Qayamat 😢 dah me napenda ile Dilchura liya
2026-09-22 08:54:03
2
bilike220
Bilike :
naomba wimbo wote nimependa hiyo tafasili yake
2026-09-29 19:18:57
1
omariayubu2
Omari ayubu :
plz weka na jina la muvis
2026-08-25 19:07:16
2
ismailmohamed3535
XUMA BRAVE🤔 :
DOOOH BONGE STORY KWENYE IYO MOVIE ...........😃😃
2026-08-18 07:19:25
2
user9281315061052
Warda Kulola :
jina la wimbo plz
2026-08-17 17:57:20
3
migwelgraffix
Migwel Graffix :
yaani ukielewa hii lugha ya kihindi utakua unalia kila siku ukiona movie
2026-08-21 04:26:00
5
aggymadagi527
Aggy Madagi :
asa kwanin nalia eeh 🙈🙈
2026-08-21 18:52:11
2
user1678167262343
user1678167262343 :
mie mpaka kesho nailewa hiisong
2026-08-19 06:06:51
3
allys_550
ABDULLAH A AWADH :
mood
2026-08-19 09:04:37
1
user86090355620407
Tum@❤️‍🔥💞 :
jina la movie
2026-08-23 10:45:13
1
zainabu.bab
snob :
nimekumbuka mbali😔
2026-08-22 19:11:57
1
salehmdumbwa
gamba :
na mm pia aisee nishalia sana
2026-08-22 21:30:21
1
catherine96335
Catherine :
nimekumbuka mbali san🤣🤣🤣
2026-08-23 17:04:31
1
eliza.mmasa
Eliza Mmasa :
😭💔💔
2026-08-17 11:43:28
2
yakuti635
yakuti :
sindiooo 👊
2026-08-19 18:36:48
2
user5136052530871
ISIHAM @15 :
mia zangu zimeenda sana kitambo hicho kwny mabanda ya makuti
2026-09-04 21:58:36
1
ummufeisal2018
Mamake Feisal 🥰 :
Hii nyimbo imenipata wakati tayari nilishamuamini kiasi kikubwa na kumpenda sai naishi na maumivu ndani ya moyo 😭😭😭
2026-08-26 18:22:32
3
aishaabdallahrama
AISHA😍 :
dah
2026-08-18 09:24:48
1
sobibo.bhai
sobibo bhai :
niliku narudia hata mala20 nasichoki kusikiliza
2026-09-02 08:30:03
2
chif.ngote.classc
Chif Ngote Classc :
kpnd hchoo way back siend shule naishia banda la video😂😂😂
2026-08-27 18:00:33
1
zamzam00374
zamzam00374 :
Hata mm jn mpk nimeiweka kichwan🥰🥰
2026-08-18 14:02:02
1
ryni3462
Ryni :
hata mm naipenda sana hii nyimbo👌
2026-08-17 15:48:22
2
To see more videos from user @kammodo11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About