@chart9724:

chart
chart
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 11:46:03 GMT
980120
45996
1276
1065

Music

Download

Comments

asa.tz
ASA Tz :
Hapo kuna Sub Machine Gun (SMG) na Light Machine Gun (LMG) na kuna bunduki ya 3 inalia kwa rapid kwa mbali anaitwa M16 ya kimarekani.
2026-08-18 22:00:39
790
neemapeter
Neema Peter :
Milio ya Oct 29 kipindi cha Idiamini anachukua nchi🥹🥹🥹
2026-08-18 03:45:18
953
simonabel231
obed oden :
eeeh ayo ndo maisha niliyo ya zoea mm😂😂😂
2026-08-17 19:11:59
182
emanuelyendrew
emma :
Imenikumbusha october 29 kipindi ambacho idiamini mama anachukua nchi kibabe dah😭😭 REST IN PEACE MAKAMANDAA😭🫡
2026-08-20 11:25:20
261
starboymnyamwezi7
Starboy Mnyamwezi :
One day Tanganyika itafika huku
2026-09-26 07:36:51
9
llyki_blaq2
llyki_blaq2 :
PUBG players na CODM players tu ndo tunajua nini cha kufanya kwenye issue kama hizi 😂😂
2026-08-19 15:14:34
51
obedrin.mushi5
OBEDRIN MUSHI :
haha the bad nae anaogopa 😂😂
2026-08-18 10:37:00
28
saidytariq
⛑️ngunguye jr.🦺 :
🤣usiwatishe watu wambh ukwel bwan umeme umekuwa shot npo break down
2026-08-17 13:24:36
58
maurboy3
mau hydraulic system servises :
apo kuna milio miwil Yun gun aina mbili nani aweza nmbia kuna gun gan na gan apo
2026-08-18 06:10:58
59
junior.julias23
Junior julias :
natka kuwa dreva wa magari makubwa mnanitisha mbona
2026-09-25 18:24:51
6
justinlyimo04
Justin Lyimo :
wana mnapitia wakati mgumu sana aisee.....
2026-09-24 16:39:49
6
zero2see
King 👑 :
Hiyo sound sio ya hii Video
2026-08-19 17:02:21
17
user1071490791656
naybeel :
mungu bariki wanaume wote wanaotoka kutafutia family zao wanakutana na makubwa sanaaaa mengine hawasemi baba zetu jamn poleni
2026-08-20 13:22:59
28
_ema._jr
🍁Ema_dê_Jr🌴 :
Call of duty live😳
2026-08-20 08:33:46
4
jeykisamo5
Jeykisamo :
congo sio kongoe
2026-08-21 14:53:03
7
japhetfitness2
japhet fitness mobility :
Hapo kuna Sub Machine Gun (SMG) na Light Machine Gun (LMG) na kuna bunduki ya 3 inalia kwa rapid kwa mbali anaitwa M16 ya kimarekani.
2026-08-20 20:33:08
14
kundi_chaz
Alvin minyukiiii🔥🔥🔥 :
hapo Kuna aina tatum16 ya wingereza, SMG na light machine atar sanaa ✌️🙌
2026-08-20 18:05:58
5
edwin.level
Edwin Level :
2026-08-18 18:57:12
8
kiso_cruiser.tz
K.CRUISER.TZ🇹🇿 :
Congo sio kongowe poleni sana wakuu Allah awape ulinzi inshallah
2026-08-18 23:52:37
5
vinzinboyriddim
VinZinBoyRiddim :
which country is this
2026-08-19 17:49:42
6
thumalii
thumalii :
isikie tuu kwenye simu hiiii kitu, tuloshuhudia hiii kiti tujuwane hapa😭😭😭
2026-09-02 08:51:57
6
alemice_b52
Alemice Franck :
sasa nyinyi wa Tanzania muna sema Congo tu!! sasa apo ni wapi? ??
2026-08-17 20:53:01
66
antianawilliam
Antiana William :
mungu awe juu yenu jaman waume zetu wapambanaji
2026-08-18 09:47:55
6
jumamakwega
Juma Makwega :
VP Mko salama apo Wap uko?
2026-08-17 13:02:23
8
user8386517268675
jeniphery :
ila mwenyezi mungu awalindee sana malory jamni mna pitia mambo mengi sana mkiwa safarini
2026-08-18 21:43:45
5
To see more videos from user @chart9724, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About