Acheni kuanika mambo ya zanzibar hakuna watu wazr upande wa pili
2026-08-17 17:17:43
20
A>FATHER>FIGURE :
alokwambia kuwa wana nchi wana wasi wasi ni nani
2026-08-17 13:15:46
29
Joha_pips_tz :
not yeti confirmed acha wenge
2026-08-18 03:13:10
0
Sal :
Old gas station
2026-08-17 16:57:04
0
Swan🦢🥀 :
Malindi ya wapi jamani😂😂
2026-08-17 19:48:10
5
Said Kasanda :
kama ni petrol basi tumeisha markani wakisikia tuu wataanza kutafuta sababu ya kuyamiliki
2026-08-17 16:17:20
17
Rauhia :
Mungu ajaalie iwe heri sio shari familia zetu zipo apo roho ze2 wallah allah atulindie insha allah
2026-08-17 14:59:50
26
Mr_BillBranks :
tatzo historia haitinzwi😅. na huenda kuna kuna sehem kuna dhahabu na hatujui
2026-08-17 15:47:30
18
sadiqrifayJR :
Sssssss
2026-08-17 16:10:56
0
Ruksaina :
Usikute na zanzibar tuna migodi pia🤣
2026-08-17 17:23:59
6
Allah Jabar :
mtugaie na sisi Watanganyika nyie ndugu zetu
2026-08-17 17:02:12
6
General Mamba :
Tugawane sisi wabara tuna udugu na nyie wazanzibar.
2026-08-17 18:26:26
6
PREMIER AUTO SPARE PARTS :
elimu elimu elimu elimu Zanzibar ni huzuni, Hakuna petrol inayotoka ardhini ni crude oil
2026-08-17 19:29:22
13
Mamycute..💕💕💕 :
Pia hodhi moja limeonekama limejaa dhahabu na almasi ambozo tunaweza jenga Zanzibar nziima ikawa km DUBAI… tusemeni mashallah M/mungu atunde na kutuhidhadhi zanzibar na Rais wetu Amin
2026-08-17 14:26:00
15
libnakassim :
Aya nauli zishuke
2026-08-17 16:09:21
8
Abu nurati :
hiyo sheli itakuwa tenk limechanika
2026-08-17 14:30:57
16
Maisha Kwel :
tizameni vizur neema hiyo yaanza
2026-08-17 12:40:51
15
bolo young 102 :
yatumike na bei ipungue
2026-08-17 15:00:54
5
To see more videos from user @farouqkarim7, please go to the Tikwm
homepage.