@spy.kid.tz: KWANINI MOVIE YA EONII HAIPATIKANI KWENYE PLATFORM ZA KAWAIDA??🤔🤯#fyp #viral #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #moviereviews

𝐒𝐏𝐘.𝐓𝐙
𝐒𝐏𝐘.𝐓𝐙
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 12:05:43 GMT
15979
1044
120
18

Music

Download

Comments

money_bank_26
Money_bank_26 :
ushuzi tuu story wameiba ya black panther😏
2026-08-25 19:46:36
1
nathan.n073
Nathan🥷🖕🤛 :
nitumie link ya movie
2026-08-25 13:40:39
1
whiterabbit__69
METLUX UNLOCKED :
Hapo hamna muvi kaka... Ila walijitahidi sana.
2026-08-20 06:27:35
5
officialchief_67
chief :
tatizo kaka iyo movie sterling anatumia gari la ist namba D kweli mwaka 2061 kuna namba D
2026-08-20 20:11:58
8
ezer_billi
ezer :
ist inashindana na gali ya batman😂😂😂
2026-08-18 21:32:39
6
abahclean
Official_Sharukhanbubu :
move nzuri inaanzia kwa trellar lkn hii ni uchafu
2026-08-20 19:12:15
2
dee_vee_salv
dee_vee_salv :
🤣🤣🤣bro hilo li movie lina editing za kitoto bana unaona makatuni kbsa
2026-08-18 03:23:30
4
shaureen1478
shaureen :
Mmmh, 2061 IST inatafuta nini hiko huo mwaka?? Endeleen kuimba tu bongo fleva
2026-08-19 21:15:52
2
mnasikid255
☠︎︎ 𖤐𝕾𝖔𝖒𝖆𝖑𝖎 𝖐𝖎𝖉🌿🍃 :
mbn kama GTA San Andreas 😁
2026-08-20 12:10:30
3
kenbrighton29
ken_brighton :
futuhi si hipo. ntaangalia futuhi sio hiyo movie
2026-08-21 08:29:34
2
jisun_009
𝖏𝖎𝖘𝖚𝖓_009 :
oya iyo movie teaser trailer nd ilikuwa kali but movie sio kali kiukwel
2026-08-21 11:34:35
1
zamirootbinzaga48
zakoot bin zagaroot :
tena hio movie imegarimu mapesa si kidogo mabilioni ya pesa kuitengeza sema azam wanapenda kujiamulia mambo watu wenye vipaji tupo hawatuoni🤣
2026-08-21 10:32:12
1
cutmaster255
the cut King 👑 :
serious 🤣🤣🤣
2026-08-18 08:41:23
1
alphannypaul
ALPHA_PAUL 🎲🎲 :
movie imepauka sana kaka editer inabid apangilie rang vzr 🤣🤣🤣
2026-08-24 05:19:20
2
yamtaani
AI :
Mimi memeiona kunavitu taileta kachemka
2026-08-20 05:58:57
1
gee7ven1
G7_ :
kwahiyo inapatikana kwenye platform gani
2026-08-19 11:28:57
2
djblackstar_tz
dj black star :
trailer kali ,ila movie ni nomaaa😅😅😅
2026-08-24 20:43:56
1
alhidhirwazir
Canny Orton :
hala filim ikisha kuwa scientific prediction haitakiwi kubeba story sana kuliko action, ilitakiw mpango wa kuibiwa program ya eonii iwe hai na vibe sasa eonii imepoa sana action zinawekwa dk10 za mwisho
2026-08-25 06:48:21
1
ratseydehuitzel
🇱 🇴 🇸 🇹  𝐒𝐎𝐔𝐋.✍🏾 :
nilisha sahaugi. kama hii movie ina exist
2026-08-18 08:14:24
1
katoto255_one
Katoto_¥.. :
Tatizo Tanzania wakiona wametengeneza kitu kizuri wanataka kutengeneza pesa papo hapo kwa hicho kitu badala watengeneze audience kwanza ndipo pesa zitakuja , coz hata ukiona ilipotoka yan iliwekwa mpka ulipie ndo uangalie na sio ku download , yan wanataka jilinganisha na campuni kubwa kama marvel na DC ,
2026-08-22 16:21:58
3
kelly_albert_
Kelly Albert_🧢 :
Hakuna movie apo , nina sababu 50 ...kwa kifupi ni kwamba producers, directors na team nzima hawapo seriously...😏😏
2026-08-20 03:25:17
2
99arman9k9
HD٭ 𝐀𝐑𝐌𝐀𝐍 :
ndio mana Tanzania hatuendelei kwa roho mbaya je Agetengeza spaida man si tusingeona hata trela
2026-08-21 06:23:55
2
nadodeboy
NADO DEBOY 👿 :
nilikaa mpaka saa sita usiku pale sinema zetu kuisubilia lakini nimona naangalia katuni sio movie
2026-08-20 05:54:05
1
ismailyheart
#✝️☦️👑 :
alafu ilikuw kama gem sio muvi kwahiy wamejitahid lakin bado haiku nyooka
2026-08-20 04:58:12
1
To see more videos from user @spy.kid.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About