@nyaelafunny1: #onthisday #swahilitiktok #fyppppppppppppppppppppppp #millionviews #funnytiktok

Denis Nyaela
Denis Nyaela
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 12:11:46 GMT
91691
4127
150
613

Music

Download

Comments

user6592661712582
Diana's :
Uzuri me nduguzangu ote atusemeshani
2026-08-18 13:16:00
16
thegreat.one.bby.h
Thegreat one Bby happi🥰🥰🥰 :
nilitaka nipeleke status asije akafa mtu wakasema nilitoa tahadhari
2026-08-18 12:06:19
31
bennieshayo254
Am bennie shayo 254 :
Moja kwa moja status😅😅
2026-08-18 08:40:18
12
frola_mbunda
frola mbunda :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwisha habari yao
2026-08-18 11:07:42
1
user5476371108548
user5476371108548 :
Yani hapo iwe kabla au baada si tunajua ni wewe 😳😳
2026-08-17 19:34:28
32
mohammedi.kisoma
Mohammed kisoma :
napita2😂
2026-08-18 11:42:28
1
ma.ivany2
ma ivany :
hiiiiii inaitwa changamukia furusa 😂😂😂😂😂😂
2026-08-18 05:31:02
14
legacyinmaking
A wise elephant 🐘 :
point noted 😀
2026-08-18 12:24:26
1
mattesokahabi
Matteso Kahabi :
respect braza
2026-08-17 21:33:41
0
boniphaspeter605
Boniphas Peter :
😆😆😆😅😅😁😁😁 hiii karii
2026-08-17 14:03:51
0
isaya_mgogo
isaya_Mgaya dom :
nashindwaa kuelewa mm mwenzenu
2026-08-18 02:36:20
9
marko.atilio
Marko Atilio :
watu wako mbele ya muda😂😂😂
2026-08-18 04:38:34
9
katozzy.mdudu
katozzy mdudu :
respect
2026-08-17 20:26:06
0
user9560011578469
RANSA BOY :
wabongo mnajua kujiamulia mamb
2026-08-18 11:38:03
3
user2612269205076
eunice :
ongeza sauti wanafamilia awajaskia😂😂😂😂
2026-08-18 11:56:46
1
jenipha.nyagalu
Jennifer 222 :
nashindwa kuwaelewa
2026-08-18 12:46:36
1
user7319126820929
user7319126820929 :
Nkweli bana
2026-08-18 04:54:45
4
nzega.finest
Esien Store :
mimi nina rafiki yangu alivyokuwa hana ndgu zake wqlikuwa wanakufa na hakuna kelele ilq saivi kijana kapambana kajipata akifa ndgu yake kelele utasikia huyu atawamqliza wenzie anawatoa kafara utajiri wake huu wa kafara tu 😂😂😂😂
2026-08-18 09:20:54
6
chidy.katoto
Chidy Katoto :
kabisaa uhakika😂
2026-08-18 12:01:41
1
hawe.jumwa32
Hawe jumwa :
weee kumekucha
2026-08-17 21:29:10
1
msafiri087
Mariam :
nyoosha mikono yote miwili huo mmoja hawatakuelewa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
2026-08-18 09:15:26
4
egongabriel455
𝕫𝕒𝕔𝕙𝕒𝕣𝕚𝕒 𝔾𝕒𝕓𝕣𝕚𝕖 :
Hata mm naogopa kuwa tajiri maana NDUGU zangu wataanza kufa
2026-08-18 07:32:45
2
flexworkshop1
FLEX WORKSHOP :
kabisaa hawachelwagi
2026-08-18 17:51:42
0
bihemosamwel
Samu💉🔑 :
Hiii nikiiweka status kikao cha familia kinanihusu😅😅😅😅
2026-08-18 17:50:23
0
noreen8466
Noreen :
hahah watu awatk kusingizia mambo ooh ohh
2026-08-18 18:13:46
0
To see more videos from user @nyaelafunny1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About