@eternalinternationalhq: 😂 Kama mwili wako ungeweza kuongea, ungeweza kuwasikiliza bila kujitetea? Ubongo una malalamiko, moyo una yake, tumbo lina yake… na kila sehemu ina jambo la kukuambia. 😂 Swali ni moja tu: Sehemu gani ya mwili wako ungependa iseme ukweli wake kwanza? 👀👇 Taja sehemu hiyo kwenye comments, tuone nani ana kesi kubwa zaidi 😂 #IfYourBodyCouldTalk #Afya #AfyaYaMwili #EternalInternational

Eternal
Eternal
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 12:38:07 GMT
39331
1389
13
81

Music

Download

Comments

shandrack.solo
shandrack solo :
Next
2026-09-17 19:05:26
1
happymalila657
Happy Malila :
mwendelezo tunaitaji
2026-09-12 07:36:21
0
oseaosea246
MY LORD♡o。.✿✿✿✿ :
KWELI
2026-09-16 18:01:01
0
faola.lit
Faola lit :
Mkikuwa mutayaona
2026-09-18 11:26:57
0
seifu4555
Centery kiddy💥💥💥💥 :
Tupee ushaury
2026-08-20 16:06:53
0
amour.mahemba
PEPSI :
Mnataka kunipangia maisha
2026-09-19 17:55:25
0
alexshelembi
Alex Shelembi :
ni kweli jamani tubadilikeni
2026-08-17 16:02:23
1
user7281654361941
Ramze@ :
sasa nyie kama mnaweza c mtoke nje muone
2026-08-17 13:10:06
2
gost.rider.com
gost rader :
😂😂😂
2026-09-17 16:24:58
0
afya.ni.mtaji
AFYA NI MTAJI :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-17 13:44:18
0
To see more videos from user @eternalinternationalhq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About