@0fficialmam08: #funny #funnymemes

Official Mamu🇺🇲🇹🇿
Official Mamu🇺🇲🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 12:40:13 GMT
96098
3415
211
383

Music

Download

Comments

doris.hinjo1
Doris Hinjo :
namba2 siyo muhimu sana
2026-08-17 15:20:42
24
livisha31
livisha :
simple and clear😂😂😂👌👌👌👌
2026-08-18 07:51:51
0
miss.luu22
miss luu🍒🍒 :
Bora we unakumbuka hat kuog na kupig mswaki me nkiamka ni tiktok had nasahau kula mchan
2026-08-17 15:32:46
42
mamen_passat_passat_pass
mamen_passat :
kufanikiwa sahau
2026-08-17 17:51:31
12
nicole.ambele
Nicole Ambele :
hewaaaaa hayo ndio maisha yangu sasa🥰
2026-08-17 13:38:17
20
glory_msigala
Glory Msigala :
nje unaenda kufnya nini mi sitokagi kabisa na mtu wa taka akigonga siitiki bill ya maji silipi
2026-08-17 16:02:44
26
wemakisey
wema sweet 🍭 :
kuna mim siwashi taa wala feni madirisha yote nafunga sitak kuona kitu kinaitwa mwanga ndan yan mda wote nione giza tu na hata nikisikia hod mlangon kwangu sina destur ya kuitika zaid nitajifunika had kichwan 😂😂
2026-08-17 20:41:06
13
merry207h
Merry lissa🌼🌼☘️ :
Kumbe kuishi pekeyako raha ivo😆 Nitatoroka nyumbani ili niwe naamka saa9 na mimi😂😂
2026-08-17 18:52:50
16
irene_mushy
Irene_Mushy :
iyo namba 8 had nitetemeke
2026-08-17 21:41:39
0
user33697735799776
Rose 🌹Mluguru 207 :
Tunaoangalia Usku 🤣🤣
2026-08-17 20:26:12
12
officialmanka4
Officialmanka💜🔐 :
sas kwnn niamke kuswaki na kunywa chai ni kulala mpk saa 9 unaamka unacheka tiktok unalal mpk njaa ikutetemeshe miguu ndo unapik unakula afu unalal tena marufuku kuongea na majirani😂😂😂
2026-08-17 16:20:29
12
samakj5
sama :
😂😂😂 jamn😂😂😂
2026-08-18 07:03:21
1
kingluhumbila
KING LUHUMBILA 👑💎💎 :
....:kalibu tiktok jisikie kama upo nyumbani😁😁😁😁
2026-08-17 18:15:32
5
john694448
BABE LIZY CUTE❤️🫂🙏 :
huyo mimi kabisa😂😂😁😁
2026-08-17 16:48:18
1
user1885995615996
merrytinnah :
Vizur
2026-08-17 13:13:53
3
radya230
radya230 :
Mimi kabisa huyu an natoka nje nasisemeshagi mtu😂
2026-08-17 15:52:26
3
amatz770
Intropact 🤫🤔🫡 :
usku mnaendaga wapi nyie mnao shinda ndan mchana
2026-08-17 19:46:49
1
mwanaisharamadha163
Mwanaisha Ramadhan :
uanamawazo kama yangu kabisa
2026-08-17 15:44:29
1
userkisslovely
kisslovely🫦😘 :
umesahau namb 14 kugombanisha watu😂😂😂😂
2026-08-17 14:26:37
3
mariamiddy497
muuh🌸 :
kwanzaa Salam sio lazima yan mm sitoki ndan nalala had uvungunii
2026-08-17 20:17:18
1
naah..skyl
nancy 🌸 :
13 ungeweka kuogopa wanaume
2026-08-17 16:49:18
2
esther_mwanga
Esther_mwanga :
hizi comment me zinanifanya nijisikie Niko nyumbani 😂😂😂😂
2026-08-17 16:52:28
2
adelinanetherlands752
Adelina Netherlands 🇹🇿🇳🇱 :
na hata namaliza week si ndio nje Wala sionani na majirani
2026-08-17 14:43:52
3
user263627784363822
Nusra💓 :
🤣🤣🤣nilichogundua umu tktok kuna watu wanaakili kama zangu ,,uwezi amin tok juzi paka leo cjaosha vyombo ,,ety kisa t cjiskii kutoka nje
2026-08-17 18:39:14
1
user8146792361539
esther :
ndoo ratiba yangu ya kila siku
2026-08-17 18:40:35
1
To see more videos from user @0fficialmam08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About