Mungu, ninaomba umlinde mtu anayesoma haya aendelee kuwa hai, salama, mwenye afya njema na abarikiwe kifedha. Amina. 🙏🏾
2026-08-17 15:43:50
970
✨nayrah🦋 :
apa kuna Rose Muhando na Bahati bukuku pembeni anapiga back vocal 🥰🥰
2026-08-17 15:32:50
594
OBBY ALPHA 🏅 :
My sisters mumebarikiwa sana mweeee🏅
2026-08-17 20:55:26
338
Neema Joseph :
natamani nipate mtu nimuelezee kile napitia ili nilie lakini ndo nimekosa naona nikiwaacha wapendwa 😭😭
2026-08-17 23:20:26
81
✨HILLDAH RICE🔥 :
mbn mnaimbaaa vzr ivi
2026-08-17 14:41:05
110
FARAJA_CUTE :
Ngoja nimwambie ndugu yangu 😂😂nyie ndegu zangu
2026-08-17 13:21:40
111
Kipoya Killar Edu :
humu TU 🔥😂
2026-08-18 14:30:36
11
maria🥰 :
kibomba napenda saut yake🥰
2026-08-17 19:49:47
79
lovejuicebar2 :
Hayaaaaaaa weeeeee apo kuna bezi la kibomba adi raha 🎶🎶
2026-08-17 13:59:57
2
phina beauty collection :
aweee Jenifer Mgend voice na Bahati Bukuku vocal🔥🔥👌
2026-08-17 19:50:27
2
suzy john :
Kibomba sauti 😘
2026-08-17 21:49:13
6
TUZO JEROME TZ ✅ :
Hajasafiri💪
2026-08-17 14:19:50
55
phie..🦋💕 :
kibomba ana saut nzuri ya pili 😋❤️
2026-08-17 19:05:32
26
VEE-LUXE-PRODUCTS :
Best video nimeona leo🥰
2026-08-17 21:02:14
8
Itc_momo :
Me nasubili tuu usimulie hadithi za kwenye Biblia kama ulivyo hadithia ya Estar🥰
2026-08-17 20:51:58
18
lizzy bassong :
ila chido unasauti jmn kaaaah umejua kunibariki nyieee🙏
2026-08-17 18:42:14
15
Cleopatra💦 :
Mbeya yetuu imetajwaaa🥰🥰
2026-08-17 14:06:42
14
P_sasha_cosmetics :
Malaika lazima washukee 🥰🥰🥰
2026-08-17 19:43:37
6
APOSTLE HILNESS :
peleka injili hata kwa kuimba mpaka waelewe
2026-08-17 18:43:03
6
It’s swaiba🥰 :
Kibomba umejua kunikosha na saut ya pili jmm🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-17 19:06:18
12
precious :
chido sauti inaNichoma kumoyo
2026-08-17 22:54:44
6
Dayanacutee :
Umenikosha jmn acha tu nikufollow 🥰🥰🥰 wimbo unaitwaje kesho ni uplay siku nzima 😂
2026-08-17 18:41:20
9
Kiiza :
Wow kesho naokoka aiseee🥰
2026-08-17 15:45:47
8
_.urgurll.F༙A༙B༙U༙L༙O༙U༙S༙🌸🎀 :
Zaburi 91:1–2🤍🌺
Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu, atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini♥️🦋
2026-08-17 20:00:51
7
❤️ :
Ukaipige Remix yaaani sauti ni 10/10🔥🔥
2026-08-17 13:26:48
9
To see more videos from user @chido_point, please go to the Tikwm
homepage.