@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Juu ya Baadhi ya Wanaume Ambao Wamekua Wakiishi na Wake Zao Ambao Dkt Sheikh Abdulrazak Amesema ni Vyema na Muhimu Mume Kutambua Umuhimu Wa Kutambua Majukumu Yao ‎ ‎Mfano Pale Mume Anapokua Anapitia Wakati Mgumu Wa Kifedha Mkeo Akihitaji Huduma Na Ukamwambia Aupo Sawa ile Kauli ya Mke Ndio inatoa Uhalisia Wa Tabia halisi ya Mke ‎ ‎Na Endapo Mke Akishukuru Na Kumuombea Mume Wake Kua Utapata Kwa Wakati Mwingine Ni Jambo Zuri Sana Na Ushukuru Kwa Kupata Mke Mwema Na Mwenye Busara ‎ ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amekua Akitoa Elimu ya Maisha Kwa Baadhi ya Wanandoa Juu ya Mambo Mbalimbali ya Msingi Yanayohitajika Kufanyika Endapo Baina ya Wanandoa Wakipita Changamoto Mbalimbali ‎

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 13:44:28 GMT
25875
1270
20
535

Music

Download

Comments

user3770585937181ahlam
ahlamchachu. :
Yani Kila lawamaa mnawatupia wanawakee ..lkn baadhi ya tabia za wanaume zinawakatisha tamaa wanawakee..wanaume mnajisahaubsaanaa..na mke mpaka abadilike nitabia ya mwanaume ndio ilio badalisha tabia.. mbona wengine hata kama hana lkn unamuona kabisaa anania ya kukuhudumiaa..
2026-08-17 15:13:55
5
zahor.ali4
Zahor Ali :
santaa
2026-08-17 14:54:03
3
ydowedie
Adam Abraham9176 :
💯
2026-08-17 16:25:39
2
mwaisimba.shuga
Mwaisimba Shuga :
wambie
2026-08-17 19:52:20
2
shabanmhando129
Shaban Mhando :
shekh wewe ni kiboko
2026-08-18 11:46:29
1
ismailkhamis879
ABUHYDAR TZ :
kinachowaathiri Wana wake ni tamaa na kutoshukuru kinachoingia ktk nyumba.
2026-08-17 20:21:43
5
agwas0
maush@ :
na mume bahili wafanya nini
2026-08-17 15:02:29
2
mudiofficial482
Official :
Swadakt
2026-08-20 05:51:21
0
dhimusha
Dhia muhammad :
Sio kwa wake zetu wa sasa, huna na umwambie huna ananuna na kusema humpendi
2026-08-18 06:05:47
1
hawamuchelule
hawa muchelule :
👍👍👍
2026-08-17 14:09:05
3
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About