ulishawahii tafuta mayebo saa mbili usiku huyaonii upo na kibatariii na kuna upepo na mama anataka kufunga mlango alalee😂😂 yn mpk unachanganyikiwaa n hukumbuki uliacha kwa mama amani au mtoni au uwanjani au yalienda na maji weeeh
2026-08-18 06:35:24
60
mother of3 :
wanaijua sago aoo😂😂😂
2026-08-18 07:18:22
1
ms_gmosha :
kuna kutoroka na kwenda mtoni kuogelea eti dooh,, kuna kuserereka na baskeli za mbao
2026-08-17 15:54:53
56
Lena :
kweeeeeli bro yaaaaani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 09:05:55
0
MAXIMILIAN🇹🇿 :
Kulenga nyuki tupate chance ya kutoroka vzr 😂
2026-08-18 09:59:14
4
chid_mpinda✍️ :
wanangu tuliokuwa tunaaenda kubaka balale like hapa
2026-08-17 15:30:24
29
Swadact@ lelo Mangikiria🏨 :
👊🤣🫡 Makin san
2026-08-17 15:06:12
1
Mama nillan plane B :
ivi wangapi, siku ya mwaka mpya, walikuwaga wanakimbia usiku, yaaa mnachoma vibanda vya watu😂
2026-08-18 07:09:37
8
suleymanirogath :
tim nyukiii nip hap nilikua nikona wananinyima namba ya kuchez mpiraa naendaa kupg nyukii ilimrad pasichezek 😂
2026-08-17 17:38:38
16
mind therapy 😌 :
kulenga manyigu na kiiba miwa
2026-08-18 09:58:01
1
Pri🥰pa💞che💐 :
kwanz saiz ata iyo led yenyew awajui ,tulikua tukikosa mchezo kabisa tunapigan at mawe yn litakapo kupiga utajua mwenyew n mchez yn ukilud nyumbn at mzazi akikuuliz umeumiaj aujui umuelezej yn unapigwa tena wakat umeumia ila saiz mmhhh mtot anaijua sm kuliko mm
2026-08-18 05:04:07
5
Halima.S.H :
yote nimecheza tena na kaka zangu,nikikumbuka nimekoswakoswa kung'atwa na mbwa mara 2 rede jmn nimepigwa kwaajili ya rede ya mchanga 😂😂😂
2026-08-18 07:40:53
7
NAOMI BISHANGA :
😂😂halafu kweli
2026-08-17 15:34:49
1
Mama Ayaan :
Na kuoga ni usiku tuu sio siku hz mtt anaoga mara mbili