@mr_pimbi: Dharau Pombe ya Hennessy anaoshea Tairi ya Gari yake

Mr_Pimbi
Mr_Pimbi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 14:20:05 GMT
647956
37267
1427
395

Music

Download

Comments

hadsongwimile
Hadson Gwimile :
kama vp tukiwasheee[Big LOL][Big LOL]
2026-10-25 11:24:47
0
run_cash_outfit
RUN CASH💲 OUTFIT🧢 :
Pombe halamu kuna tatizo gani kuoshea gari?
2026-08-17 16:23:24
555
officialsixphonestore
Six phone store :
uzuri tukifika mbiguni kila mtu atasema hela alitoa wapi 😂
2026-08-17 19:26:30
433
fadhilbachoo
Fadhil Bachoo :
hio fedha ungesaidia maskini
2026-08-17 19:48:42
120
moudykisengo
moudykisengo :
pombe yenyewe halam,,,acha aoshee tu
2026-08-17 14:34:56
187
heritagefans
Heritage fans🙌 :
kila nafsi ita onja umauti 😳😂
2026-08-17 19:24:21
50
jasmin03814
jasmin :
hiyo ni pesa ya tanzania kenya hiyo ni pesa kidogo
2026-08-17 17:16:32
28
user2790428443614audax
Audax Kabakama 🙏 :
Nan anajua hiy ni aina gan ya gari maan anafichag
2026-08-28 22:58:47
9
user4097726108163
cubaka% :
wale wanao mukubali mungu kuwa yeye nikila kitu katika maisha yake agonge like apa ilintujuwane😁😁
2026-08-17 19:45:03
84
sheby6944
Shaba🎯 :
uko sahihi m naomba kujua nan kakupandish apo juu kweny mick
2026-08-18 07:28:05
13
reyes_max_dowman
𝐑𝐄𝐘𝐄𝐒 𝐌𝐀𝐗 𝐃𝐎𝐖𝐌𝐀𝐍 :
mbona cheif goodlove alivyofanya same thing hukuumia huyo kaiga tu😂
2026-08-17 14:59:06
41
gee03540
gee :
ndugu zangu msijisahau hii dunia inapita tu kikubwa tumombe mung🙏🙏
2026-10-05 21:21:04
6
john.galdollard3
John Galdollard :
laki mbili ndo ngapi 🇨🇩
2026-08-18 06:59:02
10
mkacho90
mkacho :
kufuru gani , pombe ni haram😂
2026-08-18 05:44:14
9
fathili.dickson
Jackson :
350000😭😭😭
2026-08-17 16:59:10
21
nashoni.okechi0
nashoni okechi :
Mbona gar linyewe bati je akipata gar sasa
2026-09-17 18:01:37
5
rukiaakili998gmai
💕rahma chocolate 🍫 :
kwan wenzetu tunamchukuliaje uy kk mbn anatuzoea iv
2026-09-18 22:08:35
6
itsjeny15
it's jeny :
Kuna shida yeye kuoshea gari yake na Hrnesy
2026-08-19 20:52:22
8
ravanidavid
Dax B tz ⛳️⚽️ :
msijisahau michezo ya uyu hom boy anayoifanya ni mchezo aliokuwa akiifanya chifu Good love
2026-09-22 05:27:54
7
user904149982348yakobo
Yakobo matela :
😂😂😂Kila mtu namatumizii yake tumia pesa ikuzoee
2026-09-09 16:31:45
5
shebbykibila
𝕊ℍ𝔼𝔹𝔹𝕐 𝔹ℝ𝔼𝔼💤𝕐 :
alafu ndo crown tu
2026-08-17 21:36:36
5
khuzhno
THE BLACK HULK🦅🦅 :
uzuri kila mtu akifika binguni atasema ukweli
2026-08-17 19:55:47
5
rach17970
rach :
Ila mr pimbi Hb kajazia watu mafuta kalisha watu chakula na bado anatoa sadaka kwa namna yake,,,mbona ayo usem😏,,, ana motivate watu watafute pesa achana tu na matumiz yao
2026-08-17 17:10:18
10
genius.jin8
Genius jin🔥 :
muachen anajua kazipataj pesa zake
2026-08-31 13:46:14
5
tuma.bby192
tuma bby :
sio kufuru siumesema pombe imeharamiwa hiyo hana kosa ndio vizuri haswa
2026-08-18 05:04:59
5
To see more videos from user @mr_pimbi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About