Alipe ili Iwe funzo kwa wengine wanaopenda kurukiq habari wasizozijua
2026-08-17 15:29:13
478
kenny :
vijana weng Wanasumbuliwa na roho za kiuma masikin
2026-08-17 19:37:23
514
Angel :
pole chadi maxta
2026-08-19 21:37:33
0
MSAKANOTI :
pole sana kiongozi lakini maskini ni watu wenye chuki sana napambana kuuepuka umaskini
2026-08-17 15:06:03
266
Zimba Electronics :
EMR 2025!!!!
2026-08-19 16:55:08
0
Veronica Sanga 🙏🙏 :
pole kipenzi chetu
2026-08-17 14:52:04
216
Mwanagenzi :
Jamaa amependa vibe tu Ila hajui ishu ilikuwa ni nn😁
2026-08-17 17:03:14
280
The khalifah ² {Nahd} :
traffic light?! mmh!
2026-08-19 21:23:10
0
thomasnyanghally :
site mirror 😁
2026-08-17 15:21:53
66
dorine store :
mbona kioo Bado kipo
2026-08-17 17:14:18
35
Rajaaah :
me ni bodaboda ila hii haijakaa poa hata kidogo ukiona ile video ni dhahiri sio watu wote walishuhudia iyo ajali ila utaona watu wanajifanya wana hasira na ujuaji wengi wao ni boda wenzangu sasa jarib kuvuta picha siku itokee huyo mwenye gari kagongwa hata kwa bahat mbaya na boda ivi hatakama ana uwezo wa kumsamehe atamsamehe? boda tujitafakari sana tuache ujuaji
2026-08-17 15:37:41
156
dragon boytz :
pole san master
2026-08-18 09:04:08
0
S2kizzy :
EMR nani kakwambia ni 2025
2026-08-17 18:34:16
55
Anna🤑 :
jamani natafuta kazi na wapendwa
2026-08-17 19:03:20
9
~rah🖤🌸 :
jmn E tang 2023, nyie mnaouliz E 2025 mnaish wap??😳🤌🏿
2026-08-18 06:11:07
20
#majA_boY*** :
msamehe kaka kakosea sisi ndugu zako
2026-08-17 16:43:30
26
japharmwakyusa :
kwel kabisa chado masta poleni lakn
2026-08-17 18:40:20
5
Vuai Mshenga :
Hata mm sijapenda yule jamaa
2026-08-17 14:57:35
34
Brian Rupia :
ile gali plate number ni CMR sio emr
2026-08-17 20:39:27
5
ma G 4 :
watanzania tuache tabia ya kujiamulia mambo
2026-08-17 17:24:08
15
To see more videos from user @chado_masta, please go to the Tikwm
homepage.