@deepsoun9: 🎧І у темную ніч DJ ARARAT🎧#bassboosted #NewMusic #deephousemusic #2026 #carmusic

🎧 DEEPSOUND 🎧
🎧 DEEPSOUND 🎧
Open In TikTok:
Region: PL
Monday 17 August 2026 14:48:07 GMT
25118
328
14
114

Music

Download

Comments

querdenker1
Musicdriver :
COOLER SOUND 🤙🤙👏👏🫶🫶
2026-10-04 18:54:24
1
user6123468394867
Марчук Іра :
супер 👍🥰
2026-08-19 16:59:28
1
andrey35.09
Andzrej €€€ :
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-30 20:34:59
1
user3311703662950
Матвій Ридель :
😳😳😳
2026-09-03 08:17:21
1
user7460294697612
user7460294697612Елена :
👍👍👍👍👍👍💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
2026-09-07 07:56:59
1
user6123468394867
Марчук Іра :
🥰
2026-08-19 18:33:31
1
user7236177205365
Алёна Тюменева :
🥰🥰🥰
2026-08-17 17:51:01
1
To see more videos from user @deepsoun9, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

MAOMBI YA JUMATANO YA LEO, OMBA HIVI; Kuna watu wengi, wana nguvu, lakini hawana uwezo wa kiroho wa kuzibeba au kuzitunza baraka Mungu anawapa (
MAOMBI YA JUMATANO YA LEO, OMBA HIVI; Kuna watu wengi, wana nguvu, lakini hawana uwezo wa kiroho wa kuzibeba au kuzitunza baraka Mungu anawapa ("Most people pray for more... but can't carry it"). ​Haya hapa ni maombi na misingi mikuu wa kuomba jumatano ya leo, Mungu akupe uwezo wa kiroho wa kubeba yale amekuandalia ​1. "Baba, katika jina la Yesu, ninaomba uongeze uwezo wangu wa ndani (inner man). Panua uwezo wangu wa kiroho ili niweze kubeba, kutunza, na kusimamia baraka, ufunuo, na utukufu unaotaka kuweka juu ya maisha yangu kwa jina la Yesu. 2.Baba katika jima la Yesu kristo, Sitaki tena kuomba vitu vilivyo vikubwa kuliko uwezo wangu wa kuvibeba; badala yake, uniumbie uwezo wa kuvitawala!" ​3. Ee Bwana, ondoa kila kiwango cha ukomo (limitations), udhaifu, au tabia za zamani zinazozuia roho yangu kupokea kilicho kipya. Nifanye kuwa chombo kipya kinachoweza kubeba divai mpya ya Roho Mtakatifu. Kila kizuizi kilichopo ndani ya nia au roho yangu kikaondolewe leo!" ​4."Mungu wangu, sifuati tu miujiza au zawadi za kiroho, bali ninaomba ukomavu wa kiroho. Nipe Roho wa Ufunuo ili niongozwe na Roho Mtakatifu katika kila hatua. Niongoze kutoka hatua ya kudorora (stagnation) hadi kwenye utukufu na ukuaji wa kweli unaoleta matunda." ​4."Bwana Yesu, panua uwezo wa maono yangu. Nifundishe kuona kama unavyoona ili kujitolea kwangu (dedication) na juhudi zangu ziongezeke. Nipe uwezo wa kuvuka mahali nilipo sasa na kufikia viwango vya juu vya kiroho, kifedha, na kiutendaji kwa ajili ya Ufalme wako." ​Mambo Makuu 3 Yakuzingatia kwenye Maombi Haya: • ​Funga kama Zana ya Mabadiliko: Kufunga hakubadilishi Mungu, bali kunapanua uwezo wako wa kiroho kupokea na kuelewa kile Mungu alishakutengenezea. • ​Uwezo Wako Ndio Thamani Yako (Your Capacity is Your Value): Kiwango chako cha kiroho ndicho kinachoamua ni kiasi gani cha maono na fursa unachoweza kukabiliana nacho bila kuanguka. • ​Omba Roho Mtakatifu Akuumbe Upya: Omba Mungu akubadilishe uwe mtumishi anayeaminika kabla ya kuomba mambo makubwa. TUKUTANE KANISANI KWENYE MAOMBI HAYA JIONI UA LEO #creatorsearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #viralvideo

About