@sheikh_luqmantz:

SHEIKH LUQMAN MASOUD
SHEIKH LUQMAN MASOUD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 14:55:40 GMT
15398
669
31
148

Music

Download

Comments

nuninaheka595
Nuni Naheka :
mti wa nini
2026-08-23 01:16:51
3
user86376516519373
m.D :
nakama sioni vz naweza eka kwa macho
2026-08-24 16:04:25
1
sarah.sausan16
sarah sausan :
Assalam Aleykom, msinduzi mzizi haina jina jengine , kisha tuifanyeje
2026-08-24 05:22:51
1
sadamaulid27gmail
Sadah Outfit Sumbawanga :
A/aleykum shekhe, dawa ya uvimbe tafadhali msaada shekhe
2026-08-23 04:49:03
1
jumanuru226
Mr juma :
Allah Akbar
2026-08-23 20:54:30
1
hadija.zaphari
wapotigash :
Allah akupe uhai mlefu rafik yang
2026-08-21 07:32:40
1
aziza_kassanga
Its Aziza :
shekh kama mtu haoni vizuri sababu ya sukari unaweza weka hayo mafuta pia
2026-08-21 05:07:00
1
user4441081886166
Mariam :
yanaitwa habatsauda
2026-08-20 23:34:16
1
minagals
user7505602969609 :
Subuhana Allah
2026-08-20 13:58:32
1
user76140135979051
ollaaa twoooo :
mti gani?
2026-08-22 03:43:14
0
rosemary.kanda
Rosemary Kanda :
mungu akutunze
2026-08-22 13:40:24
1
user17860901279593
user17860901279593 :
unatumiyaje
2026-08-18 13:36:16
1
user789636480
Aziza :
sheikh ikiwa nii macho waweka ndani yaa macho au wanywa? pliz confirm na kama macho ina catracts pia yaafaa?
2026-08-22 07:23:09
0
xxoxo.aishaa
aisha :
Uvimbe shekh umesema mtu anunue nni
2026-08-22 20:04:15
1
aysher1064
Aysher :
Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatu Sheikh Mimi Nina pressure ya macho sioni vizuri,, naomba kuijua hayo mafuta y habatsouda nitatumia vipi
2026-08-23 04:47:52
1
fato44288
fato :
As kama macho yanauma tu kawaida wanaweza weka habsoda
2026-08-22 20:00:59
0
user86376516519373
m.D :
mm macho yngu ayaona kwambali yana giza
2026-08-24 16:07:54
1
user76140135979051
ollaaa twoooo :
iyo dawa ya uvimbe mbona hatujafahamu ilo neno la mwishooo
2026-08-22 03:43:00
1
user86376516519373
m.D :
msinduzi ni mti gani shekhe
2026-08-24 16:08:37
1
samia.sadik
Samia Sadik :
sijaelewa Hilo jina la dawa
2026-08-20 10:46:20
2
sweet__884
sweetheart :
shekh unatia km wanja
2026-08-21 12:25:21
1
zuumasoud177
zuumasoud177 :
tuelezeee vixu vizuri sheikh mana mawaidha yako ni nusu
2026-08-21 06:57:27
1
To see more videos from user @sheikh_luqmantz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About