Gari ikiharibika saizi inabidii kukimbia maana kutoa malezo na upo ndani sio mchezo ?
2026-08-17 17:54:23
17
user3818163721328 :
WOYOʻOʻO
2026-08-18 03:06:11
0
Baraka Moshi :
sasa gar ikipata hitilaf dereva ashuke akimbie
2026-08-17 17:32:12
7
mchambuzi. com :
sasaivi mwendo wa kuparking na kukimbia unapaki gari unakimbia mbali kabisa kama umeuwa wakija wanakamata gari wanaliweka ndani itakuwa kazi ya kuweka Maloli ndani maana tukikamatwa madereva tutazipa shida familia zetu wanangu kama mnavyojua kuingia bure kutoka na ------
leseni kupata kazi kuendesha barabarani pia kazi kupaki pia kazi nachoka mimi
2026-08-18 10:27:37
2
shimba john :
Dereva mh mkuu wa mkoa hana hatia hapo wamiliki wa mizigo shida hawana parking sasa kila kitu dereva dah hapo mzgo unamlalia dereva2 dereva sjui tumeikosea nn nchi yetu hii visa vingi kwa dereva kila kitu dereva eee mungu tusaidie madereva Lori🙏🙏🙏
2026-08-17 20:16:33
3
frank :
Ndo maana leo uhasibu Amna makontena🙌🏼🙌🏼 nimeshangaa sana
2026-08-17 16:47:04
3
Engineer by Nature :
Mkuu tumaomba pia tujengewe maegesho ya malori itakuwa nzuri zaidi
2026-08-17 16:32:18
4
SHINOTEE👑✌️ :
achana na nani au nimesikia vibaya
2026-08-17 17:41:55
1
DÏCK🍆 :
kwan tafsiri ya service road n nin maan yake!?
2026-08-18 00:18:38
0
Dj Akili 7 :
mbona husema uholela wa ICD
2026-08-17 17:36:19
3
hamadabdallah59 :
Kwa hiyo gar ikipata hitilafu wafanyeje waibebe mgongon
2026-08-17 16:56:02
0
babajesca396 :
na mabasi pia pongezi kwako mkuu
2026-08-17 15:11:47
2
msabaha :
mbona dar imechangamka sana hahahah
2026-08-18 16:18:46
0
BLACK MAN :
😂😂😂 mbio
2026-08-18 14:23:44
0
Joseph Nyangasa :
haya yote ya nn Jiji la Dar kukwepa folen na jam zote nikutoa ICD zote mjini pelekeni ICD bagomoyo Morogoro uko mbali na hata vigwaza kontena ikishuka iingie kwenye tren ipelekwe huko mjini ije Loli kwa mizigo mingine na kwamuda maalum ila hii mtatesa madereva tu utaambiwa nenda kapakie unafika ICD gari ndan zmejaa unapak njee ukamatwe wakat chanzo ni ICD bado Kuna tatzo inatakiwa kutumika ustalabu na maamuz magumu sana kudil na walioko juu Wala sio madereva tujifunze Nairobi gari kabao ila folen hamna kwann?
2026-08-17 19:55:37
1
Karama Ramadhan :
wanatafta hela tu badae watoe ICD mjin ili tupate nafas hawatak sasa ICD zipo mijin mizigo yao wenyewe bas na sis madereva tugome kubeba mizigo yao
2026-08-18 14:10:50
0
Nyota :
Mkuu waseme na bodaboda hawazingatii taa za barabarani
2026-08-17 21:26:55
0
mussaharuna153 :
vp mkuu nifanyie hata mpango wa kazi hali ngum mkuu napajua hapo ofsin kwako hali ngum mzee wetu
2026-08-17 16:49:24
1
amri Hamisi :
kwanamna yeyote mnatakiwa kublock loli isitoshe na kwann dereva waambiwe wenye ICD zao jmn mbona dereva tu jmn😭😭😭😭😭😭madereva asee
2026-08-18 17:01:34
0
user3728620144761 :
njoo tandale sokoni
2026-08-18 15:09:14
0
Medy :
Upo sahihi mkuu..... Kikubwa ikiharibika hakuna kutoa Taarifa rock Gari kimbia baaaaasi
2026-08-18 14:10:08
0
Baby driver :
tafuteni vitu vyakuongea kuhusu dereva mnazingua unakuta mwenye kosa boss lakini achuliwi hatua alafu anachukuliwa hatua Kali dereva ili tuwape tabu familia zetu na hii inatokana nyie serikali mnashindana kwenye hizi biashara sasa basi mm ningewaomba nyinyi ndio muanze kua mfano kwetu kutengeneza gari zenu kuwahamasisha mnaowatuma ambayo wanatutuma sisi wasiwe na kiburi kwanza usipende kutuonea madereva bhn sisi hatuna nguvu ya kujiamulia mambo kama hamjaongea nyinyi wenyewe
2026-08-18 14:08:53
0
kulanga :
mzifanyie usafi na hizo barabara mitaro michafu harafu unakuta mjini kabisa
2026-08-17 15:21:43
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.