@mzakayo: Replying to @mwanaidikombo27

Mtu special 🚸
Mtu special 🚸
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 15:07:31 GMT
238840
9837
1139
1601

Music

Download

Comments

happygidion65
happygidion65 :
Sasa mbona umeweka maji kidogo 😂😂ongeza yajae uweke na unga tusonge ugali moja kwa moja
2026-08-17 16:26:33
370
minahemil4
happy 👸 🇹🇿🌹☪️☪️ :
Tuombe ladhi please 🙏
2026-08-18 05:52:23
0
happier800
Happy bakery tz :
Kaaah mmetuzushia 🤣🤣🤣
2026-08-18 06:39:27
0
happy.seleman08
happy seleman :
Niongee kwa kusimama au. Kukaa
2026-08-17 19:16:41
95
zaynab.a.mmbaga
@# mmbaga :
mtumeeeeeeeeee
2026-08-18 07:02:07
0
rujaahmarcko
rujaah marcko :
sijuiii ata happy alikufanyaa nn🤣🤣
2026-08-17 15:49:44
81
mrsme403
mrs me💯💐 :
😂😂😂 ila wakina happy
2026-08-17 16:23:19
1
angela72672
Kid sugar♥️ :
Happy wa raja🤣🤣🤣@happ voice
2026-08-17 23:48:11
1
hkamela
happy paul :
Kwanza huo muda wa kupika tunautoa wapi hatupiki kabisa
2026-08-18 05:01:02
12
nyangi.edward0
nyangi edward :
jamani mbona tunahalibiana mboga😳
2026-08-17 18:48:22
11
happipfztg7
[email protected] :
😂😂😂 basi kuanzia leo nabadilisha jina🙈 maana hii siyo haki 🙌😄
2026-08-17 19:12:49
45
momytuuu
babytuu :
tulio soma comment zakina happy tujuane apa😁
2026-08-17 20:24:50
16
ms.hapy
Ms.hapy💕 :
Da jamn
2026-08-17 20:32:22
0
chubby241295
Happie chubby 🌸 :
Weeh ebu mimi mnitoe 🥹💔
2026-08-17 19:17:32
7
happynes.mandago
Happynes Mandago :
tusamehage tuu ila atupiki ivo jmn
2026-08-17 18:54:21
6
happy.michael317
Happy kidoti :
umenipatia Ndo ninavyopika tu vitu vitu😂😂
2026-08-17 17:18:37
17
renalda939
Renalda :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa 😂😂😂
2026-08-17 18:47:57
12
official_fetty1
official fetty :
mmh kwisha alianza vizuri happy ila baada ya sjui msg ya kuachwa ilipoingiaaaa🤔
2026-08-17 19:37:08
5
mrs.abuu63
Ms bitris❤️💃💃 :
jaman sa ukumaliza hzo mboga unamwaga au
2026-08-17 18:12:33
7
user3182929402613
Mtoto wa Bibi..🙂 :
😂😂😂 nishawahi kupika hivi mwaka 2022 baada ya kukosa mkopo hapo nakula usiku, kesho mchana na usiku tena kwa mboga hiyo hiyo mchawi limao jingi tu😂😂
2026-08-17 20:15:47
5
ankokipensi0
OFFICIAL KPTEE :
mmh
2026-08-18 05:56:39
0
papigal8
She is papi :
Ebu
2026-08-17 18:00:51
2
user90382472183492
user90382472183492 :
apo ungeweka na mchele ili iwe pilau dagaa
2026-08-17 19:43:07
2
malikiarecho
malikiarecho :
Mim na kataa Happy wetu anapika balaa chakula akipika happy nakula mpaka basi
2026-08-18 07:15:36
4
To see more videos from user @mzakayo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About