ndio maana tunasema uwe shule, Gwajima sio rais ni waziri 😳
2026-08-17 18:03:36
38
queen precious love :
kumbe gwajima kisha kuwa rais na sijui 😳😳😳
2026-08-18 08:14:09
11
Maua Simba :
Ndio maana watu wanapigania usome ina maana hata Raisi wa nchi humjui
2026-08-18 08:01:32
19
👑Pee smart🇹🇿💫 :
🥰tafuta cm
2026-08-18 08:25:21
7
Swanya_The Barber :
Unatafutwa na mama
2026-08-17 16:00:52
16
Nabui_kitchenTanga :
mdogo wangu gwajima sio raisi ila anakutafufa usisubiri mpaka akufaye mfaye tu itakuwa asbbabu ya kukusaidia mdogo wangu.usishindane na wakubwa.Allah akusimamie