@merrykiss16:

Khabbity ❤️😍
Khabbity ❤️😍
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 15:12:07 GMT
132369
3669
262
734

Music

Download

Comments

mulkaty75
Naah🌸phones&Accesories📱 :
Umesahau na remote haina kifuniko 🤣🤣🤣
2026-08-19 11:30:44
75
user8328141278483
SL LEGELAcutting :
saw mwanetu 😁
2026-09-11 14:01:58
0
getrudamwambatz
madam G beauty💄 :
😂😂😂😂😂kuna mtu nilichat nae tikitok akaanza kuniuliza maswali mengi akauliza nipo wapi nikajibu Arusha akaniambia karibu dar nikamjibu...Dar ndio kwetu nimezsliwa muhimbili nimekulia ilala bungni nimesomea Mailimoja kibaha pwani Maisha yng ya kujitegemea nilianzia kijitonyama Huku Arusha ndio kwanza nina miaka miwili nina watoto wailing wote wa kike kabila langu mngoni kwa baba Mtanga kwa Mama nimeolewa jamaa alicheka sana akaishia kuguna tangu siku hiyo hajawahi kunitafuta tena
2026-08-18 14:26:16
31
lizy.raphael
miss mummy :
ukiingia TikTok hata ukiwa na madeni unasahau yote
2026-09-10 13:04:47
13
dastan.cyprian
Dastan Cyprian :
Me ndomana nimefuta tiktok toka juziiii🤣🤣🤣
2026-09-10 15:26:51
3
teddyelias347
Mwansasu daughter :
ila huju kuna raha jaman😂😂😂
2026-09-10 11:46:53
2
qeenlady255
Qeenlady🌹🇹🇿 :
Ndio maana hatuolewi siku izi maan tunajieleza sanaaa
2026-08-19 09:47:14
5
user93209371095148
official kemmy :
asante tarehe uliyonunua na mwez nd na mm nmezaliwa hvy hvy
2026-08-29 17:06:09
2
justifaefrahim
justifaefrahim :
yani ukiingia TikTok hata ukiwa na stress zinaisha zote maana
2026-09-10 08:57:22
1
said.petro77
mr smily :
2026-09-09 17:52:31
3
mrsdope21
😺 kitty 🐈🐾❤️ :
nishapata njia ya kumkataa mtu haina aja ya kumwambia nampenzi ni kujizima akilu tu 😂😂
2026-09-06 07:32:18
1
xarmin67
Xarmin** :
Mmmmh mbona naona jina langu
2026-09-08 21:00:02
2
user6104794797398
barak@ khan :
😁😁😁😁😁😁😁 nashindwa kuerewaa
2026-08-30 10:12:04
1
devotha.edward8
devotha💞 edward🫂 :
huyo ndo mm sasa nikilazimishwa kuongea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-29 07:23:38
4
violeth.bonifas
violeth bonifas :
aaaaah,sawa
2026-09-03 11:21:34
1
happy69535
miss happy :
mtume roho yangu 😁😁😁😁😁
2026-08-28 07:34:27
1
user1985994762527
FACE CHANCE :
Kumbe Watu kama nyie bado mpo 😂🤣
2026-08-31 09:14:14
1
love186294
Niani🎀💞💖 :
mtume Muhammad
2026-08-20 14:48:00
9
eddieh113
eddieh113 :
Ndo maana na me nakerekaga mtu ukimjibu vzr tu yeye anasema unamjibu short 😂
2026-08-18 09:00:15
5
halimagirlwww.tiktok.com
h@lima girl💫💫💞 :
hiyo haina comback🤣🤣🤣
2026-08-28 11:14:32
1
mwalimu624
mwalimu :
Ila binadam ni mtu hatari sana
2026-09-10 18:12:24
1
marstrent09
mars🥰trent09 :
umesahau kutaja jina la movie
2026-09-09 17:16:01
2
star.boy.255
Crazy man :
Xaw ban unajua kumjbu
2026-09-09 14:59:25
1
mange8202
Mange :
Manina,
2026-08-17 18:15:01
0
To see more videos from user @merrykiss16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About