@davi_lee_gas_point:

DAVI_ LEE_  GAS _POINT
DAVI_ LEE_ GAS _POINT
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 16:00:17 GMT
110944
4670
324
404

Music

Download

Comments

frankfesto323
Frank Festo :
nachoka Mimi frankie
2026-08-20 17:31:51
0
shembazy
msabaha :
kuwatetea polisi nikazi sana
2026-08-18 04:57:36
38
lakhamis2
La :
yani bukoba akuna uongozi niunyanyasaji tu kunawatu wapokituoni bilakosalolote
2026-08-17 21:03:55
65
faustine373
faustine :
hawa watu bila kuwachukulia action watatusimbua sana ipo sku
2026-08-17 19:41:48
32
user4222165052387
sck :
Police wana chumba maalum cha kutupigia wanaita gereji ukitoka humo mzma omba mungu sana
2026-08-18 15:05:41
6
user4663959427178
user4663959427178 :
kwani amefanya kosa gani mpaka imekua ivo
2026-08-17 21:21:28
5
user5796319352680
user5796319352680 :
kwani alfanya kosa gani mbona hamsemi kosa
2026-08-18 08:30:15
4
user6148108799092
editha :
kwani umekosea nin jmn uko niuyayasi jmn nikwetu ni changamoto pore baba
2026-08-18 10:13:25
5
fau0538
Miss faa 🦋🦋 :
Hii vita ishakua ngumu
2026-08-18 05:50:23
7
2pac83522
2pac :
Ila hawa asikari wanajisahau sana
2026-08-18 04:26:25
6
user4953028482130
papa mayeko :
inategemea na kosa mnajuwa tunaishi na watoto bila kujuwa maisha ya watoto
2026-08-18 07:46:27
0
user131237610368
kime b2 :
Ongea na Babu kigoma itajulikana😁😂
2026-08-18 08:51:06
3
shabankinyamazing
Shaban Kinyamazinge :
kwanini kila siku ni police tu
2026-08-18 05:12:20
6
devothajackisoni4
devotha mcheshi :
jamani mtoto wawatu mungu amponye awe salama salimini Emungu msadie
2026-08-18 19:01:53
2
gordiani123
gordiani :
nyie ndo mnapatia ccm kura
2026-08-19 16:07:24
1
officialchinga99
chinga99 :
hii sehemu sitaki at kuiona
2026-08-17 21:04:50
1
user6673026804549
zamdarashidmussa :
police wapo Kwa ajili ya kulinda raia na sio kuwangamiza
2026-08-18 08:20:13
0
sapianusbuchambon
Sapianus Buchambona :
siku hizi polisi wamekuwa mahakimu
2026-08-20 05:52:43
0
frankbraithon
Muneer🏍 :
polisi wasasa wamekua wauaji
2026-08-17 19:15:46
6
user6035546820960
Amos philimon :
hatuna nchi ya amani tena
2026-08-18 18:02:11
1
user3015683825162
ezima :
nawapenda police ila🙌🙌 nashindwa kuwatetea matukio yenu nimeng
2026-08-18 08:39:53
2
mr.mkweli_og
BISHOO LA KAWE✅️⚧️ :
Yani vijana tunaojitafuta bukoba tunapata mazingura magumu sana yani bukoba asikali wanatusumbua sana 😭😭😭
2026-08-18 19:09:25
1
tqnails_lounge
tqnails_Lounge💅 :
hawa jamaa watumaliza niaminini mimi
2026-08-18 09:12:14
2
user5771825729188
lebeck paschal :
duuu jaman mungu wambingn simama na ss wantonge
2026-08-18 10:33:19
1
user9519056619800
user9519056619800 :
kuwatetea polisi ishakuwa ngum hl mungu ajalibiwi malipo ni apa apa duniani
2026-08-18 10:12:04
1
To see more videos from user @davi_lee_gas_point, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About