@dost.media.tz: RC CHALAMILA: ACHENI HIZO HELA NI ZAMOTO, ZINGINE ZIMEUNGANA NA ROHO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa agizo kwa vyombo vya dola na viongozi wa serikali kuwakamata mara moja madereva wote wa malori wanaoegesha magari yao kwenye barabara za pembezoni (service roads) kinyume cha utaratibu. Agizo hilo amelitoa leo, Jumatatu ya Agosti 17, 2026, wakati akifanya ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya barabara katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Temeke, ambapo alishuhudia mrundikano mkubwa wa malori yaliyopaki kiholela. ____ Fuatilia#dostmediatz kwenye YouTube Channel #DostMediaTz na tembelea website www.dostmedia.co.tz kwa Habari, Makala, Michezo, Burudani, Uchambuzi na Mahojiano. #dostmediatz #dosthabari
Dost Media Tz
Region: EN
Monday 17 August 2026 16:03:43 GMT
Music
Download
Comments
waziriitambu :
jipangeni leo wewe unatoa maelekezo ukiondoka ofisini akiletwa mkuu wa mkoa mya yanarudi yaleyale kuweni viongozi wenye msimamo sheria ufuatwe kwa wote
2026-08-18 14:17:59
0
lyandala noah :
bado pale vetenali oil come
2026-08-17 19:03:30
0
To see more videos from user @dost.media.tz, please go to the Tikwm
homepage.