**"Mtume ๏ทบ alisema: โMtu anapokufa, matendo yake yanakatika isipokuwa 3: Sadaqa inayoendelea, Elimu inayonufaisha, na dua ya mtoto mwemaโ.
Wewe ni dua yake sasa. Msisahau.
Allah akuwekee mahala pake pepo la Firdaus. Subiri, thawabu yako iko kwa Allah ๐ค"**
2026-08-18 05:55:45
3
TRUST๐ :
yarrab wahifaz wazaz wetu pema walotangulia na walokuwa hai wape afya njema na mwisho mwema โค๏ธ
2026-08-17 23:00:37
0
l.i.e.b.z.u.u.h๐ธ :
am here!! ๐ขAllah akutie nguvu ๐ฅบkikubwa ni kumuombea dua tu๐ซถ
2026-08-17 18:38:34
1
mangowe :
pole sana kikubwa ni kumuombea dua
2026-08-18 06:10:07
1
๐น๐ฟADAM TOUR GUIDE๐น๐ฟ :
pole sana my dosafari
2026-08-18 00:08:45
1
The Town Sherrif :
Sorry
2026-08-18 04:18:01
1
king_wizzy๐ :
ALLAH AMPE KAULI THABITI
2026-08-17 23:05:17
0
Nurdin Kahema :
pole sana
2026-08-17 19:43:41
1
tuma issa selemani :
Pole sana kpenz
2026-08-18 18:38:54
0
Kidomo :
pole sana kipenzi juwa ipo siku na ww mungu atakujaalia utaita baba usikate tamaa ipo siku muombe mubg tuu
2026-08-18 05:06:13
0
Abu-Daty๐ :
ple dadangu usilie . mungu nae ana mipango yake so ple sna dadangu mungu Yuko na wewe pamoja ishallah ๐คฒ
2026-08-17 22:22:08
0
mubarak :
pole sana subra hta mm natama kuita baba lkn Allah awarehemu