@easymantz1: @Dj Ngelu_Tz @Itsdvoice @Chambusso @bagabeats #NANI? gusa link kwenye B O☝️

easymantz_
easymantz_
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 16:18:41 GMT
37747
3419
218
53

Music

Download

Comments

itsdvoice
Itsdvoice :
Kucheleeeeee👑👑👑👑
2026-08-18 14:29:54
16
jumannerashid369
Kinyama :
king of singeli @easy
2026-08-18 05:12:32
1
gengejitubad
GENGE LAO OFFICIAL :
singeli killer
2026-08-18 05:49:40
1
zena.chemchem
Zena Chemchem :
pambana mwanangu
2026-08-18 05:20:31
0
jafarmohamedchilumba0
Jafari Mohamedi Chilumba{999} :
waaaaaaaaooooh Brother Nakubali
2026-08-17 21:52:12
1
mkuyaally
mkuya finishing🦺🦺 :
uliendanga wapi baada ya dj kikoti kufa brooh🫡🫡🫡🫡
2026-08-18 05:12:53
4
ashirafuking86
ashirafuking86 :
ume iachia tu YouTube au maan Kila Niki danlowd sipati
2026-08-18 16:22:50
2
mhawile
mhawile :
easy maniiiiiiiii
2026-08-18 10:09:14
1
zaitunini
zaituni lupindo :
ata mm huwa sipendi singeli ila zako nazikubali 2 sijui kwanni
2026-08-19 00:27:40
3
mzunguwamama
Mzungu Wamama :
Acha zalauu mwenetu toa jibu nyimbo inaitwa tukupe sapot
2026-08-18 09:32:54
1
chadomusictz
Chadomusictz :
mjomba ni mama
2026-08-18 20:22:00
1
ben.sugar
Ben Sugar :
ivi watu wenye Hela hawapo Tz hii waweke Hela Kwa uyu mwamba nataman wewe mwamba uchape machupa magari na tukuone ukishine kwenye mascreen uko alaf utupe burudani kama hiz back to back
2026-08-18 19:44:38
4
middy_piccolo
Middy piccolo :
🙌🔥🔥Legend
2026-08-18 07:47:04
1
chihangu_chihangu
Baba 3smah tz🇹🇿 :
daaaaah easy man kwenye flash yangu naulizwa umempendenea nn huyu jamaa Jin's Ngoma zako zilivyofuatana
2026-08-19 04:34:02
2
kakingosnr
Kakingo Snr :
Mjomba Wangu @easymantz_ ndio muongoza Njia Kwenye Huu Mziki masikio Yetu Yanateswa Na Kelele Bora Utuokoe🔥🔥🔥
2026-08-19 06:45:46
3
user725199367123
Hashim msonde🫵 :
uko wapi ujasikika mda sana mtaalam nakukubali sana by msonde hashim
2026-08-18 13:50:37
1
kidalipambe
kidalipambe :
kaka mambo vipi nilitaka namba yako mimi kidalipambe tuliendaga msanga nikawa napuliza siku ile nina nyimbo yangu singeli nahitaji sapoti yako
2026-08-18 06:17:41
1
vitamin.tza
Vitamin Tza :
umu ndo kwako sasa kaka unanikumbusha sana ivi ni nani wewe ndo ilikuwa nyimbo yangu bora miaka iyo ikipigwa lazima niinuke acha kabisa kipindi icho kigodoro mapopo atulali mi ni shabiki yako ize kitambo nakukubali sana
2026-08-18 22:30:22
2
mchina820
Mchina :
Tajir Angu
2026-08-18 10:32:36
1
ibrahimuakili
Ibrahimu akili :
wenye kazi wpo kazini
2026-08-18 09:46:21
1
user687930363
the golden boy :
esy Kam esy ni mmoj2
2026-08-18 10:29:58
2
user9837026613962
Aucho de"🤸 :
ludi kweny game kak
2026-08-18 10:21:42
1
djmau_tanzania
DJ MaU :
Ize man minanda jitahidi hizi pia uwe unazitoa angalau kadhaa maana generation mpya ya mziki huu huenda ukauokoa wengi wanalowea kwenye singeli tuu 🫡
2026-08-18 21:49:10
2
chongozeenyoni
Chongozee Nyoni :
🫵🫵🫵usipoteee ivyo bro bad tunaitaji mziki mzuri toka kwako
2026-08-18 10:40:59
1
To see more videos from user @easymantz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About