@bobleezo: About last week palikuwa Hapatoshi Bibie Mossi Suleiman na Professor Mohd Elyaas walinogesha sana tulifunga hadi Barabara.Hapa ni Anga za Kimataifa.Wimbo Muhibaka for the first time Tuli performed live
weeeee!!! Naomba ile manahodha wagombania sukani ya malika tafadhaaal
2026-08-18 17:02:01
2
vijora quality👌 :
maashallah da mossi
2026-08-18 10:35:22
2
Mustafa Ismail :
mashaallwa hiyo nyimbo kitambo.na huyo bibiye sijamuwano miyaka mingi sana mara ya mwisho nilimuona akiwa na est Africa melod maisara kwa mzee wa ruksa miyaka mingi
2026-08-18 19:22:04
2
fadyarashidi :
napenda mm mosi
2026-08-18 17:21:18
2
mossisuleyman4 :
ilikua paambeee khaswaa
2026-08-19 06:31:22
2
fetty thabeet :
maa shaa Allah 🥰🥰
2026-08-18 17:41:37
2
Wenyewe Band Oldies :
Daaah Mossi kanistukiza kuja kama surprise nishaanza kusahau huu wimbo wakati nimeupiga na ku produce mwenyewe Aiseeee Mwalim kafaulu 😅😅😂😂
2026-08-17 21:06:58
2
ummy :
🥰🥰🥰 mashalwa ilikua pow sana
2026-08-18 09:56:59
2
chiikassim :
marahabaaaa
2026-08-18 03:52:39
2
Juma Safi :
siku gani munapiga hivyo vitu hitamu🥰
2026-08-17 22:52:18
2
cautharally943 :
❤️❤️❤️❤️
2026-08-17 20:47:58
2
Hafsa Ibrahim Sattardin :
🥰🥰🥰
2026-08-17 17:54:12
2
khadija shaury :
🥰🥰🥰
2026-08-19 08:56:59
2
To see more videos from user @bobleezo, please go to the Tikwm
homepage.