Uzuri wa tik tok unaangalia video huku unasoma comments
2026-08-18 08:48:15
260
nice gabar :
we ndo unampend usiseme prnk
2026-08-18 07:16:47
162
PIUS✌️ :
ka unanipenda nipe laki mbili✌️
2026-08-18 04:05:40
65
mr dominic :
ongea haraka nikasome koment☺️
2026-08-18 05:44:08
68
Imma 07-10-2026 :
wakina imma tenaa😂😂😂
tuna misimamooo
2026-08-18 11:07:45
26
mupecho j5 :
ata mm sichomoi kwakweli 🤣🤣
2026-08-18 02:18:43
86
mani manito :
bc wew ndo unampenda kweli
2026-08-18 13:19:50
29
Hussein Yusuph :
Natafuta mdada mwenye mimba niendenae cliniki ili nikachukue net mbu wataniua jamani 🥺🥺
2026-08-19 22:41:47
37
ibrahimmussa :
Asa mbna kama unampenda kweli🥺
2026-08-18 04:54:36
22
George Nkya... :
ww ndio unampenda😁😁😁 usiseme prank
2026-08-18 09:05:56
39
💐jackline💐🐈 :
hiyo sio prank unampenda ww
2026-08-18 07:42:41
18
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-19 15:36:19
8
laurence jr 10 :
achana na ima me nakupenda
2026-08-18 07:04:32
14
MUJAGAJA :
kwanza ilo jina tu
2026-08-18 11:55:48
7
#Nuelz 💙.⚽🥅🏆🔥 :
🤣 kwahiyo umeona utujaribu au sio .. mwanangu imma Ametisha
2026-08-18 02:30:03
19
RONNY_ROMS (ghost note) :
una saut nzur we binti😁
2026-08-18 06:58:02
15
luqzh🤑 :
emaaaa😅
2026-08-18 12:35:42
12
unthinkable🥷💕💕💔🥷🥷💔 :
ongea npo kweny comment😁😁😁
2026-08-18 21:50:50
5
fiction4523 :
ukute unampenda kwl ila hujui🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 12:12:17
14
@king d 👑 :
vp kama wewe ndo unampenda umeona ndo umwambie ☺️
2026-08-19 11:14:03
6
official E.M :
wakina imma tunajielewa
2026-08-18 05:09:26
14
Samsoni mhanga 25 :
hata mimi mwenyewe sichomoi kwa sauti hiyo 😄
2026-08-18 05:59:21
25
Baby-G. :
mmh rafik mwenyew Immah😁😁..
2026-08-18 07:50:01
6
ALLY DESIGNER 25 :
mmmh kumbe imma
2026-08-18 05:12:01
23
Reen💯💯 :
Emma Tena bora angekuwa na mtu mwingine
2026-08-18 07:35:02
13
To see more videos from user @ckaycute, please go to the Tikwm
homepage.