Kwasababu amekuwa ameuvaa mwili ili kufundisha binadam
2026-08-17 22:39:26
4
basambya2 :
yesu ni Mungu
2026-08-17 20:02:38
6
aliceshomefood🇧🇮🇨🇩🇦🇺🇹🇿 :
Yesu alikula na kunywa sababu alivaa mwili na kumbuka Mungu ni Roho na Roho kuishi duniani ni lazima avae mwili. Soma yohana1:1 kuendeleya utaelewa
2026-08-20 02:27:39
3
Abdi Mohamed :
takbir
2026-08-17 21:29:46
15
Ronald :
1. If Jesus is God why did he need to eat, sleep etc like people do?
He had both divine and human nature because he had incarnated in the flesh. In his human nature/ body, he needed food, clothing, rest just as you do.
2026-08-18 12:22:38
6
Aura :
I believe what you say yesu ni mtume,but yeye ndio njia ya kweli,Christianity is the way 🙏🙏
2026-08-18 14:09:06
4
Merryjohn :
jesus is king
2026-08-20 10:23:35
2
Frank :
Yesu alikuja duniani kwa jili ukombozi tu ila akiludi tena atakuja na utukufuu wake wote na nguvu zake atakuja kwa cheo yake cha Mungu
2026-08-18 09:35:24
4
cutej msomali :
Shida ni kwamba mna mwekea Mungu mipaka YESU ni Mungu na Mungu hachunguziki wala haelezeki
2026-08-26 09:22:43
3
james j.d :
swali la kimsikiti
2026-08-20 14:15:33
2
Rehema :
Jesu siyo Mungu ila ni Mwana wa Mungu
2026-09-12 14:42:57
0
Abdul Kareem Omary :
Yesu ni Mungu
2026-08-18 17:27:53
1
Abu Muadh :
jazakallah kher brother 👍👍
2026-08-19 19:20:23
2
Naïma Suleiman :
issa ao yesu nimtume wa mungu
mungu hakuzaa wala haku zaliwa
Allah Akbar
2026-08-17 23:32:13
13
Makombeni coman :
yesu(issa bin maryam) ni mtume kama mitume wengine wa allah
2026-08-27 13:29:54
2
Muu Tegulo :
Kwani yesu mwenyewe anasemaje?! sikutumwa ila?! mwenye kuelewa ataelewa
2026-08-30 19:44:45
2
gudboy :
nabii wa Allah
2026-08-17 18:44:02
8
anu :
Takbir
2026-08-17 18:37:01
6
Abdul Hafidh :
AlahuAkbar
2026-08-31 11:47:34
2
Juma Daudi :
takbiiiiiiir
2026-08-31 10:11:47
2
lwitiko :
yesu ni mungu bro
2026-08-17 19:11:45
2
Paul ibraa :
soma yohana 1:5 alafu 1:14
2026-08-17 21:05:41
3
Habibaty :
SUBHANALLAH WALHAMDULILLAH LAILAHAILALLAH WALAH AKBAR 🤲🤲🤲
2026-08-18 12:54:41
2
0700198512000 :
yesu si mungu Wala mwana wa mungu Bali ni mtume alietumwa na mungu Kwa makabila kumi na mbili ya Wana waiziraeli
2026-08-19 05:15:07
2
To see more videos from user @muftijunior3, please go to the Tikwm
homepage.