@msomalivitamin: Like father like son #vitamini_iyooo🍁

Msomali Vitamin🍁
Msomali Vitamin🍁
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 18:48:04 GMT
147088
18964
239
51

Music

Download

Comments

deejwilly
Dj willy Tz🇹🇿 :
father wetu msela🫶✨
2026-08-18 17:18:41
18
renatalucas40
renata lucas :
wewe mwanamke ulie mpenda huyu baba nakuzaa nae kijana mzuri hivi natamani sana kukuona na mungu akulinde jamani🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-17 22:01:46
356
gucho.saka
Gucho saka :
nilicho mkubali dogo aogopi Wala amfichi baba ake God bless mzazi ni mzazi tuuuuuuuuuuuuuuuu
2026-08-18 14:39:58
47
newmasozytingas
New masozy tingas :
baba handsome
2026-08-18 14:52:49
0
habibumsonde
Habibu Msonde :
mwamba 🔥🙌🔥🔥🔥
2026-08-18 12:16:27
0
raphy9324
Raphy :
mmefanana mashaAllah
2026-08-17 18:51:22
1
mzulunatal0010code
mzulunatal0010 :
Like father
2026-08-18 15:55:10
0
renzomichael8
RENZO MICHAEL 👑👑 :
kaka singeli zako kila mtaa kaka zamoto kinoma msomaliiii
2026-08-17 22:45:13
62
maveric190
maveric :
😁😁😁we vitamini family
2026-08-17 18:56:27
0
twevethegreat
twevethegreat :
this love
2026-08-18 15:10:08
0
samairatz6
SAMAIRA🍁 :
Baba mkwe 🥰🥰🔥
2026-08-17 18:59:14
48
mkoreaclassic
abuumkorea :
nimeanza kuwq shabiki yako due tu your lifestyle is..
2026-08-18 17:01:05
2
shamsimaarifa
Shamsi Maarifa :
baba angu kabla hajafariki alikuwa rafiki yangu saaana kama hivi navyoona ,,imenikumbusha mbali sana
2026-08-18 04:16:16
7
mono__brand
Mono brand :
Tarehe 21 mwez 8 tukutane THE GOLD STONE team msomali tujuan mapema
2026-08-17 18:52:09
38
kidura23
kidura23 :
Juuu kama bendera ya tanzania💯
2026-08-17 21:54:17
5
masumbukomitenen3
baba nurath :
ufike mbali sana wenzio wanakataa baba zao
2026-08-18 02:42:27
10
officialchynah
___Aikah chynah💕 :
Kakaangu na babaangu❤️
2026-08-17 18:51:22
17
wardaabdallah705
Walda patel :
msomali nakubali sana upo sambamba na baba nafurahi sanaa utafika mbali
2026-08-18 08:48:55
2
joharimbaruku309
🦋🦋🦋-jojoh-💞💞💞 :
wengune wana maisha mazuri na baba zao walikamilika viungo vya mwili waliwakataa mungu aksufungue kilamlango uliofunga ili uzidi kumpa faraja mzee wetu
2026-08-18 04:56:18
5
msokagirl
liz🔐❤️ :
Baba🥰
2026-08-17 20:01:37
0
mzee_kiwala
mzee kiwala :
wataelewatu
2026-08-18 06:47:50
1
jamesmandela355
jaydan :
mzazi ni mzazi ata aweje ndo mzazi wako na amna nafasi ya kubadirisha kamwe 2wapende sana sana sana wazazi wetu mungu tubariki.
2026-08-18 17:53:59
4
user5824768131945
Aloka23 :
Respect kwa MAMA kumpa nafasi mshua, we love you mama
2026-08-18 18:34:23
1
evansbabayo
Evans babayo :
msomali nakukubali sana.... 🫡🫡from Kenya
2026-08-17 18:52:44
2
josephkelvin533
joseph :
nakubali kak wazazi ndo kila kitu
2026-08-17 19:16:08
6
To see more videos from user @msomalivitamin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About