jamani umasikin sio mzuri kabisa picha linaanza mtoto anandala za mbele yamuda😂😂😂😂
2026-08-18 02:48:35
132
Wellness_zainab :
kaisiki sijakuzoea hivo kabisaa😂😂😂 hapo kwa mtoto wa tajiri
2026-08-17 19:13:08
69
Thuram :
😂😂😂😂😂😅🤣 African mother
2026-08-20 20:09:56
0
swaum :
Mm ni huyu masikini sasa sitakii mtt anipelekeshe mm😂
2026-08-18 02:13:04
74
flora kibira :
hapo kwa mtoto wa maskin nimecheka had machozi yamenitoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-17 20:46:51
26
Neema Salehe :
tulio angalia alhamis😁😁😁
dah nmecheka kwa sauti😂😂😂
2026-08-20 16:48:44
7
Kashogi_jr :
Hamna wa kitajir wala masikin wote watoto hawapend uji
2026-08-18 07:15:26
36
sweet mom❤️ :
hapo kwenye kumpgia baba ungesema.tumpgie dady 😅
2026-08-18 09:23:56
5
Eysher :
mob love from kenya☺️
2026-08-18 13:16:51
2
Lcy :
nilikuwa nimemsubil mtoto wa maskini 😂😂😂😂
2026-08-18 13:04:40
5
Unexpected :
Ila kaisiki huwa una shida gani?😂🙌
2026-08-17 19:05:07
16
@jack maringo :
daah kumbe mimi bado watot wang ni wa kimaskii
2026-08-18 08:07:20
6
pendobeauty👩❤️👩❤💕 :
😂😂😂huo muda wa kupiga simu kwa baba ake natoa wapi nambamiza
2026-08-18 11:28:42
8
lovie Lv 🌹🌹 :
ety mtu anampigia mme wake anamwambia mtt hataki kunywa uji
2026-08-18 06:53:41
7
Devothaandrea :
ila kaisk kipaji chako kipo kati kati ya ubongo jmn dah ongera saan jmn dada unajuwa kuigz uahalisia
2026-08-18 10:22:03
6
V money Brayn :
ira watto wa sikuhz mmi umr huo nilikuwa siwez kuongea yote hayo jaman 😳
2026-08-17 19:38:32
5
💕Happie💕=💙 :
10/10
2026-08-19 14:29:06
1
mss jane :
hanipati😅
2026-08-18 12:01:29
1
Ruby :
Kuna siku watoto Wangu niliwapikia uji nawapa et wanasema hauna sukari hawataki Yani Kuna wakati Mwengine hasira inafanya unatamka kitu Kwa uchungu Na niliwapiga mbaya niliwaambia huyo baba yenu alivyo Waacha kawaachia magunia ya sukari Yani toka hiyo siku nitakacho pika wanakula Tena Kwa furaha Na miaka inasoga wanakuwa allhmdhullah Nashukuru Mungu si kama mwanzo sahii sihaba single mother hi
2026-08-20 08:13:55
2
Hajra Hajra :
kwann g lakn jina la mwanangu 🙄
2026-08-17 22:32:00
3
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm
homepage.