@neymer2681: amaaaah kwel age go 🙈😫

neymer
neymer
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 19:00:30 GMT
48297
1809
67
84

Music

Download

Comments

doveen2
D._veen♧♡♤🎀🎀 :
roho iliniuma napita wanachez rede ety tumpish mtu mzim apitee😅😅
2026-08-18 14:20:46
10
kitumbuaaa0
Afroo@soldier🥷🥷🇱🇷 :
na shkamoo juu, mpk nawaambia shikamooo mweenyeeweee 😂😂😂😂
2026-08-18 16:50:27
3
roby.kalolela
Roby Kalolela :
dah nime jikuta naku follw ujue ujue najiona kila siku niko vile vile kumbe wanao niona wana niona mkubwa daah umli una kwenda kweli😂😂
2026-08-18 18:51:50
2
user10494810721186
k2temba :
acha weeh😂
2026-08-18 13:40:18
1
officialharmony4
Official harmony 🌹🥷 :
mm nisaidie hyo meme tu nimeshindwa ku save
2026-08-18 14:43:22
0
seleman.ally87
SULESH😎 :
Na shikamoooo juu napewa😂😂 nachoka mie
2026-08-18 15:58:00
0
helment57
helment :
da
2026-08-18 14:20:29
0
gdragon7818
gdragon :
😂😂😂nimeipenda hii
2026-08-18 12:13:53
0
kibadenmwarabu
Mw@rab :
neeeey
2026-08-18 11:35:17
0
kaka...2008
kaka_2008 :
weeeeeh🥰
2026-08-18 13:19:57
0
raja.bay.2022
Casablanca 2022 :
2026-08-18 15:36:34
0
dee274219
صباح الورد Deeda :
sisi huku Zanzibar watoto hawap hivyo hd ninahisi pengine mm bd mtoto kama wao
2026-08-18 17:58:25
0
justinei30
Jastine Official 👈🤲 🫵 :
tunaenda sana ais
2026-08-18 18:50:37
0
bellarock54
Bellarock :
Shida, Shikamoo🤣
2026-08-18 21:02:04
0
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-18 21:28:55
1
yusra.yaseer5
Yusra Yaseer :
siamini kma nikipita namkiwa shikamoo mkwe😳
2026-08-18 17:29:32
0
missuzzane2
SUZZY JUICE FRESH🥭🥑🍍 :
Wakimalizia na shikamoo 😁😁😁😁
2026-08-18 15:09:48
0
jescawilfredy
JESSYY SHOES🇹🇿 :
😅😅😅
2026-08-18 18:47:16
0
_.serene_soul_
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋_𝐀𝐔𝐑𝐄𝐗 ♈️ :
😂😂😂
2026-08-18 17:51:12
0
officialevanyoh
OFFICIAL~~EVANYOH :
😂😂😂
2026-08-17 19:39:56
0
To see more videos from user @neymer2681, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About