kaka simu yangu pixel nilivyoi update kwenda 17 android imebadilika storage partition kutoka 128 asaiv imekaa 16 gb total sjui shida nini 🥺
2026-08-18 07:22:10
1
Collins Mgavilenzi :
mm kaka nataka kukupa wazo unaonaje ukawa unauza simu alafu hicho kitu unachotuelezea hapa iwe ni moja ya huduma ili kumsaidia mtu kununua simu kulingana na matumuzi yake ushauri tu
2026-08-17 19:24:41
2
Paschal Choma :
Mie Nina 10 pro XL ninaenjoy vizuri kabisaaaaa
2026-08-18 15:29:39
1
#Chagga#Tz :
wakwanza kuona nakukoment
2026-08-17 19:22:43
2
Lyimo hancee Hancee :
hizi simu aina ya pixel uwq zina zima gafla tatizo nn kakah
2026-08-17 19:57:20
1
Jay Meron :
mim Nina 7 kavu inasumbua mtandao
2026-08-17 20:02:52
1
CATALYST⛎ :
Mimi Nina 10 pro xl ni moto kuliko ht hiyo 11😅😅😅
2026-08-19 21:30:15
2
Msela Mselanunda :
Mimi msimamo wanguage uko pale pale 0pp0 vivo xiaoml
2026-08-17 20:50:12
1
ZOOMER :
kwenye camera Zooming mbona hujagusa mkuu... wakati 10pro xl inazoom 100x na 11 proxl ina zoom 120x
2026-08-19 06:26:02
2
Gɛɛ Matthɛw :
AI ndo napenda kweny kamera
2026-08-17 19:29:13
1
Msakatonge Tz *105# :
bei
2026-08-18 05:59:09
0
Kelvin kiondo886 :
mi natumia 7 pro Kuna saa napiga picha porini nikiona watu wa iphone wanavyo teseka kuzoom vitu vya mbali wanateseka balaa
2026-08-20 04:04:12
0
#Chagga#Tz :
embu ashumu kuna simu inaitwa junex...alafu iwe na vyote ivo ziadi ya pixel 11
2026-08-17 19:25:55
0
JephcakesTz :
🔥
2026-08-19 20:41:49
0
🪙ŔĚÑÃŤŪŞ🖼ĴÔĒL ËMMÅ🌎⚛️🎮🎯 :
😳😳😳
2026-08-18 12:58:21
0
POSSIBLE ☣️⚔️ :
🤝🤝🤝
2026-08-17 19:18:46
1
MSELA SMART 👑🏆 :
☺️☺️☺️
2026-08-20 14:24:07
0
To see more videos from user @junefx27, please go to the Tikwm
homepage.