@evamrema2: Tukiweza, tuwalinde watoto kutokea katika Akili zao. Hawana hatia. Wanaamini kila MTU NI kama wao. Tuwaambie, tuwakumbushe, tuwaombee. Mungu awalinde watoto wetu. #evamrema #fypシ゚viral #trendingnow #trendingreelsvideo #healyourself

Eva Mrema.
Eva Mrema.
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 19:30:21 GMT
64885
3383
174
504

Music

Download

Comments

_raiyana1
❤️🥰 :
ameen rabb
2026-09-22 04:44:32
0
miriamnuru
Meryem :
Mimi ndio nachanganyikiwa nikisikia taarifa hizi
2026-08-18 16:09:28
50
blessedvero68
blessed-v :
Jana nilivoona video niliumia jamani, nikawaita boys wangu, 5yrs na 7 yrs nikawaonesha video then nikaanza kuwapa semina upyaa, huwa naongea nao haya masuala mara kwa mara
2026-08-18 17:45:01
33
mv.store6
🌸🎀mv accessories china🇨🇳 :
ata kama ana mfahamu marufuku kwenda bila ruhusa yangu
2026-08-18 11:51:06
23
_soso_3425
Soso :
Japo haya mambo mara nyingine yanafanywa na watu wa karibu ambao hata watoto wanawaamini. Hii dunia aisee
2026-08-18 20:49:28
10
dora.kibale1
Dora Kibale :
Tena sio kupokea tu hadi kumtuma staki kumlazimisha salamu staki
2026-08-18 17:22:03
8
rosemanlove
Rosemanlove🦋 :
Ata anae mfaham tyu nikumzuia yaan aschukue kitu kwamtu wala kwenda
2026-08-19 03:48:56
15
jeannkash
jeannkash :
Ameniumiza sana uyo mtoto jaman Tatizo watoto wanajisahau sijui wanaamin watu haraka sana😭😭😭
2026-08-18 20:42:51
5
dazuu008
DAZUU PHONE ACCESSORIES :
Dada hata anayemfahamu pia anaweza kuwa mbaya. Jambo jema asimuamini mtu yoyote
2026-08-18 12:31:11
8
biasharazetu3
MAMA BOY'S :
kweli kabisa mimi jamani sina aibu kwa watoto wangu natamanigi sana nikusanye watoto wadgo niongee nao mana wazazi tumejisahau
2026-08-18 05:50:44
13
janealyana
janealyana :
Asante dear kwa kutukumbusha mazuri Kila wakati Mungu akubariki sn
2026-08-18 06:05:12
11
user1743639232084
happy :
sio asie mfahamu tu hata anae mfahamu pia
2026-08-18 11:34:24
7
user8454046007630
@Mam_P :
kuna huyo wa tabora alobakwa hadi kufa jamani inasikitisha sana mtu unabaka mtoto wa miaka 6 hadi unamuua ee mungu tuonee huruma
2026-08-19 08:36:10
6
swaumally66
Swaucute🦋🌹 :
Asante dada kwa ushaur mzuri Mungu akubariki sana ♥️🌹
2026-09-15 06:38:08
2
swaumuabdallah66
Swaumu Abdallah :
hapa mtaani kwangu mbagala kizuian kuna mtoto kaingiliwa kinyume ma maumbile wiki ya tatu sasa mtoto wa kike miaka 8 na alo mbaka ni kijana na kakimbia kambakia kwenye jumba ambayo ilojengwa haijaisha mtoto kapelekwa hospitali akiwa ametapakaa kinyesi kwasasa wanamfunga pempasi
2026-08-18 08:10:54
7
covuh.brown
jamila.sinay :
m.mungu awalinde watoto wetu duniani pekee yetu hatuwezi naumia saana jambo likimkuta mtt mdogo jamn
2026-09-16 08:25:12
1
modester291
Modester :
mungu atulindie vizazi vyetu mana hata hao anaowajua wanaweza wakawa wabaya kikubwa nikuwaombea tu kwa mungu na kuwapa taarifa za kutopokea kitu chochote kutoka kwamtu anaemjua na asie mjua
2026-08-21 13:56:17
2
ivavox
IVAVOX :
Good
2026-08-18 20:13:20
2
christina.mziray
Christina Mziray :
axante kipenxi
2026-08-18 22:02:00
1
hidaya.issa52
Glvbby :
kweli dada
2026-08-18 20:16:38
1
ridiabebwa
Ridia Bebwa :
mungu awalide watoto wetu
2026-09-20 13:10:28
1
rukhal_
rukhal_og :
HATA WANAOWAFAHAMU NI MAADUI KWAO 🥺
2026-08-19 00:37:04
3
msacky_mimah
@official Mimah :
Kwani wanaotufanyia vibaya watoto wetu ni watu wanao wafahamu na tunao wafahamu[Facepalm][Crying]
2026-09-13 15:22:10
2
user5120618181131
@salma J :
ata wanao wajua wanawazuru pia
2026-09-21 12:35:21
1
irenechriss499
irene :
mungu mulinde mwanangu popote pale alipo
2026-09-21 13:53:24
1
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About