Ndy 😭😭😭😭nisaidie mm nateseka sana Nikoo kipind kigumu
2026-08-17 20:46:35
15
Rahma Kadoma :
shida so hivo voo sasa utaachana na wangapi
2026-08-18 10:23:20
17
sauda kiwope :
kaka ujui tu mtu anakuacha kimya kimya anapost mpenzi mwengine broo unaachaje kuwa na stres ndugu yangu dah wanafanya tucamn kila mtu jmn
2026-08-17 20:47:38
16
NOTIFICATION :
thanks bro
2026-08-18 04:10:02
1
Miss lee Michelle :
ahsante japo inaumiza sana😳
2026-08-20 07:11:24
4
Rabia 🦋🍓 :
ninashindwa kujielewa kabisaa
2026-08-17 21:42:32
3
rahma atwaby :
km nakupenda penda vile au bac watu wacje wakaona🫣
2026-08-18 09:47:25
1
mysala💕🔐🩷 :
kaka wapo wengi tu Tena niliowapendaa nimewapenda na nikawasahau tena toka nimeanzaa nae mausiano waapo Zaid ya watu ila wao tayar nishawasahau ila yy imeshindikanaa
2026-08-18 06:55:02
3
Suleiman Abdul said :
uhakk 3
2026-08-18 03:39:23
1
rechojulius :
Yani wew kaka unani farijii kaaaa asanteeee
2026-08-18 08:19:09
3
kidoti :
Sijapata anaenihudumia kama uyu 😁
2026-08-31 04:01:24
0
lucie🦋 :
uyu nahisi kaniroga
2026-08-18 04:27:24
1
subira mohemendi :
natuliya kaka
2026-08-18 08:05:57
1
babysalma :
nshindwa kuelewa
2026-08-18 17:40:23
1
user4726707160842 :
unatupa moyo wajasiri sana kaka mungu akubariki
2026-08-18 08:10:12
3
DA HUU 💅💅💅 :
ukiwaza tu kunakufa hilo unalolipenda litakufa utaish vip bila yy bas unasema achatuliende zake litajua lenyew ilakak unasema kamarahis vile 😅😅😅
2026-08-18 06:03:39
3
Anny❤️ :
Njoon msikilize ushaur mzur
2026-08-17 20:18:50
2
cutesoni :
mapenz yanauma bro
2026-08-18 18:11:12
2
Tina :
maneno bra san Kaka 🙏💯
2026-08-25 18:53:10
1
amaira5444 :
Kweli
2026-08-18 06:09:17
1
daruu :
kweli kabisa broo
2026-08-18 03:50:42
1
Dosho Catarias :
baba.. shida mazoea!
2026-08-18 21:09:31
1
To see more videos from user @mr.london_tz, please go to the Tikwm
homepage.