@graced.girl: Nilidhani maisha ya maombi yangekuwa rahisi, sikujua pia kungekuwa na vita. Lakini nimejifunza kwamba kukata tamaa si suluhisho. Kama unapitia changamoto zinazokukatisha tamaa katika safari yako ya maombi, usiache kumtafuta Mungu. Endelea kusimama katika imani, kwa sababu Mungu ni mwaminifu na yuko pamoja nawe hata wakati ambao huoni majibu. #fyp #tanzania #goviral #2026 #prayer
haya mambo ni code hata mimi nilikua nakabwa sana nmeomba na bado nakabwa one day nikiwa nasikiliza interview ya pastor Carlos kirimbai nikamsikia akisema iliwai mtokea one day akaamua kusema kua imeandikwa anaenigusa mimi anagusa mboni ya jicho la Mungu aisee huo mstali nikaukamata bwana
nikawa nausema kwa Imani namwambia Mungu mimi anaennigusa leo anakugusa wewe Mungu hivo mimi nikikabwa ni wewe Mungu umekabwa cjawai kabwa wala kuhisi tu kukabwa itumie na wewe afu mnifow wapendwa
2026-08-18 11:53:45
69
Agness :
very true ukianza kusali hata matatizo ndio yanaongezeka
2026-08-18 00:39:58
41
Madam🫧🌸 :
Unaanza kuogopa kulala 😂😂
2026-08-18 03:22:33
25
Renee✨🧸🤎 :
Yanii mambo yanakua magumu mnoooo ad unatamani kuacha
2026-08-20 09:50:33
6
mims :
tunahitaji roho mtakatifu ili kusonga mbele
2026-08-18 15:16:16
11
fredymitumba :
mbaya zaidi ndugu & marafiki wataanza kukuona kama umechanganyikiwaa
2026-08-18 05:16:10
8
Lee 🥰 :
nimeingia tu TikTok nikakutana na hii post na nimebarikiwa sana
2026-08-18 08:45:40
8
Angel 😇 (◕ᴗ◕✿)🩷 :
Girl I’m being tortured in a day light 😳
2026-08-19 03:12:53
0
KisinzagloryMartha :
yaaani unaenda vitani unategemea vita iwe rahisi
2026-08-21 14:00:18
0
Duka la sweta(ladies_clothes4) :
Hapana anza maombi lakin kuwa na siri kutokueleza hatua zako, omba vizur sali novena mtakatifu rita siku 9, Zaburi…91 malizia Mithali..3-24 Woi usingiz mtam
2026-08-18 10:58:48
5
witiney victor :
maombi ni vita sister
2026-08-18 12:36:29
0
bite :
amen
2026-08-18 06:50:20
0
zuhuraisaya :
Mimi nimeanza maombi lakini marafiki zangu wamenitenga
2026-08-18 20:20:42
0
Mamake mwanangu💍🫂💓💘💍 :
hii nayo ni ukweli kabisa.
2026-08-19 07:24:21
2
Aisha Mushi :
Hata mambo ya utafutaji yanabana kuliko mwanzo sijui kwann
2026-08-19 17:27:27
0
fredymitumba :
vita yake sio ya kitoto kabisa, kwanza unaomba ukimaliza kuomba ndoto za kufa mtu, kingine kama unafanya biashara ndo zinaenda mbayaa kabisa ila hakuna kurudi nyumaa
2026-08-18 05:15:28
5
gloriah232 :
hizo shida zimenichosha...😏😏😏
2026-08-18 16:41:02
0
Nanji :
mpaka sasa ninavita mambo hayaendi unawezasema mungu hayupo au mungu ananipa jalibu ila siachi kuomba tena
2026-08-19 04:02:02
0
user92291353616171bleshaz :
ni kwelii tunaomba sana lkn tunasahahu kitu kimoja tumalizapo kuomba ni kukataa roho za malipozi coz unakuwa umesha mpiga adui so atatafuta kulipiza kisasi
2026-08-18 20:57:30
2
@asu1995 :
usisahau kusoma zaburi ya 91
2026-08-18 08:23:25
0
detahokeshy :
that's me exactly kwanza maombi ya saa Tisa Hadi nikirudi kusinzia Hadi na nyongwa ,nadungwa visu wee lakin nitasonga mbele🙏🙏
2026-08-18 18:17:17
0
Grace pikisen :
Pale ulitangaza vita ndo ulitakiwa Uongeze maombi zaidi
2026-08-18 09:03:15
0
To see more videos from user @graced.girl, please go to the Tikwm
homepage.