@tarry.jr: Huyu binti Cjui yupo wallah 😭❤️ #quran#tanzania#trending#viral#fypシ

Tarry Jr
Tarry Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 19:32:29 GMT
20156
2386
92
130

Music

Download

Comments

ummu.afnaan4
Ummu Afnaan :
Yupo kashaolewa mŵka wa pili sasa anaishi oman
2026-08-18 11:58:54
11
user142208657678
reymommy :
kuna muislamu yupo bzy kushindana kukariri mziki mungu tuongoze na tujaalie mwisho ulio mwema inshaallah
2026-08-18 11:25:55
12
almass_ally061
Almass_ally :
nilifika hadi ku search kila mtandao walau nione post zake akisoma qur an ila nimemkosa cjui kapoteleawapi namkubali sana
2026-08-18 09:52:11
4
hafsa_henna5
Hafsa_henna🥳💃🏼 :
Yupo kashaolewa na tahfidh mweziye
2026-08-19 08:34:40
1
rahma_collection5
rahma_collection5 :
jirani yangu kipenzi,maa shaa Allah Allah azidi kukuneemesha na hii qur'an
2026-08-19 05:56:31
1
bata9593
bata9593 :
Masha Allah jmn huyu bint alikuwa anasoma vzur sana
2026-08-17 20:34:18
5
dullymuhammad
dully 🌹 :
Sauti nnayoipenda
2026-08-18 06:30:58
3
arteta085
arteta08 :
Hapa ilikuwa ni kwenye mashindano ya Qur'an yanafanyika kila mwaka madrasatu Swiraatwal Mustaqiima iliyo chini ya Sheikh Mtiga yanayotambulika kwa jina la USIKU WA QUR'AN....hivi sasa Ashura kaolewa na Haafidhul Qur'an kwa jina Abdillah na wanaishi Oman
2026-08-18 20:06:20
2
bakariabdallah927
Bakari Abdallah :
huyo ni mke wangu mm ninae nyumbn ananisomea qur an sasa hv
2026-08-18 10:48:38
5
sneijder.115
عبد الرحيم :
hakik, kila ninavyozid skia ham inarud tena
2026-08-18 04:01:17
2
allyurembo735
Ally Urembo :
jaman naapa kwa mungu nimmemtafuta sana huyu bint hii sauti ilinifanya nimpeleke mwanangu madrasaa
2026-08-18 09:25:36
1
57kusnia
user608674887068 :
maashallah
2026-08-18 16:22:47
2
kifandaddy99
AMSTRONGDADY99 :
Mashallah❤️❤️❤️❤️
2026-08-18 03:35:34
4
dreezy_youngin
dreezy_youngin :
@Ashura lilanga mashaAllah
2026-08-18 09:08:59
2
iscofernandez26
SCAR FACE🇹🇿🧟 :
[Sticker]
2026-08-17 19:41:00
4
salhabakari41
M.s Bakar :
naomba kutoa posa
2026-08-18 08:11:00
0
araphatyaboubaqar
Chuda the great# :
MashaAllah
2026-08-18 11:05:08
1
user6808063116853
Abuu hilali :
mashallah
2026-08-18 06:38:38
2
alshirazy15
Alshirazy :
Kumbe ni huyu maana nina Audio yake ina dakika 6 na sura ndio hii
2026-08-18 13:57:59
1
ashamalamwa
Asha Malamwa :
Mashaallah
2026-08-19 08:45:27
0
ochuu728
ochuu :
mashallah
2026-08-19 08:20:53
0
chimamy.rey06
chimamy Rey :
mashallah
2026-08-19 07:03:45
0
kasimuze
chopezo :
MashaaAllah mungu ukuhifadhi binty
2026-08-19 03:04:13
1
official0049
Official :
Masha Allah ..🙏
2026-08-18 20:26:20
0
fahadimshare
Fahadi Mshare :
Mashaallah sauti nzuri sana
2026-08-18 07:07:03
1
To see more videos from user @tarry.jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About