@automatewithai_tz: Leo kwenye @automatewithai_tz tuta-explore tool ya Jotform na jinsi inavyoweza kukusaidia kutengeneza AI Customer Service Chatbot kwa ajili ya biashara yako! Unachoweza kufanya na Jotform AI Agent: 1. Kupokea na kujibu maswali ya wateja kwa njia ya Chat au Voice 24/7. 2. Kukusanya taarifa za wateja (leads) kiurahisi. 3. Kui-train AI kulingana na huduma au bidhaa za biashara yako. Na sehemu nzuri zaidi? Unaweza kuanza kuitumia BURE kabisa! Tazama video nzima uone jinsi ya kuiseti hatua kwa hatua. 👇 Hifadhi (Save) post hii kwa ajili ya baadae na share na mfanyabiashara mwenzako! #AutomateWithAI #AIinTanzania #JotformAI #CustomerServiceChatbot #AIAutomation

Reinafrida | AI Automation
Reinafrida | AI Automation
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 19:33:23 GMT
1933
124
5
28

Music

Download

Comments

sajjad07493
Sajjad :
awesome
2026-08-18 02:16:42
0
jack.ma6983
Jack Ma :
Upo vizuri dear Big uppp🥰🥰🥰
2026-08-17 19:53:26
0
emmanuelveroson
emmanuel veroson :
mambo kama haya ndio napenda kusikia kutoka kwa watanzania najivunia uwepo wa watu wa tech wanao rahisisha maisha✨🌟🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-18 04:36:45
0
emmanuelveroson
emmanuel veroson :
naomba niwatafute mboreshe project yangu please🥰
2026-08-18 04:37:04
0
mossey28
Mtü Makìni. :
🔥🔥🔥
2026-08-18 05:38:05
0
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About