@houseofbudgettz: Money Book Binder inaweza kuwa hatua yako ya kwanza ya kujenga nidhamu ya matumizi na tabia ya kuweka akiba. Sasa niambie… ungependa kuanza kutumia mfumo huu wa bahasha? 💰 #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage❤️❤️ #fypシ゚ #creatorsearchinsights