hiyo ni reclaimed land so they must know everything thing
2026-08-18 11:41:36
0
خلفان 🇹🇿 :
wangefocus kwenye neno "Darajani"
wangeelewa
2026-08-18 04:07:05
100
Chirauapple♋️ :
Kwani hamujii kama hapo darajani kote ni bahari jamani
2026-08-18 02:54:07
80
hafkar :
sasa wanataka kutuzamisha
2026-08-18 03:42:04
19
najma :
Historia inasema hiyo darajani malindi mjimkongwe yote hiyo ni bahari iliyo fukiwa wakoloni walifanya kuwa ni mitaa na wakajenga majumba lakini ni eneo LA bahari Hilo ardhi halisi ilikuwa Ina anziya michenzani kwenda mbele huko
2026-08-18 06:11:32
69
user618849458682 :
wataelewa Zanzibar ni nchi cyo mkoa💞💞💞
2026-08-18 02:41:08
20
pieceful life :
wambieni lilikua ni eneo la bahari limefukiwa tu hvo hakuna cha ajabu hapo wa kuwashangaza watu
2026-08-18 03:28:49
10
Itz_Zayrin🥥🌴 :
Hemu mie nihamie dar kwa majirani zangu nishsona kunadalili sielewi 🤣🤣
2026-08-18 09:21:52
11
leysham_Sure :
sasa nimeanza kuamini kama unguja na pemba ipo siku hivyo visiwa vitazama
2026-08-18 05:14:13
6
golowalmueaqly :
Hawaew wachina au ww
2026-08-17 20:12:57
1
Shaaban Alliy :
tena kipindi cha bamvua maji mwezi 15 hapo patajaa hapatafanyika kazi
2026-08-18 11:10:57
5
Abdul Latifu315 :
dah maji yana mawimbi kabisa ayo 😅😅
2026-08-18 06:45:12
5
ALMASO EL RIYAMIY :
kuanzia makao makuu ya ccm Zanzibar Hadi malindi naforodhami yake ni Baharitupu iyo ndio habari
2026-08-18 08:27:47
7
@mablo_t_one :
Sehemu ishaitwa darajani awali palikuwa na maji
2026-08-18 02:59:09
3
bin issa ktchen dish :
wataelwa tu
2026-08-18 09:29:44
1
Kham :
karume alipajenga daraj darajan nzima sehem iyo yote ni bahar
2026-08-17 21:29:04
9
maryam Ahmed :
hapo nakumbuka tulikuwa tunavuka kwa viboti na kati kulikuwa na daraja linalopita njia ya suma na kuelekea bara bara ya kwenda ngambo ya pili kunapouzwa halua ya bakhresa
2026-08-18 10:56:43
5
Userdabrat :
Pwani
2026-08-18 10:20:27
1
bjj :
hapo palikuwa na daraja
2026-08-18 10:56:39
1
➳ᴹᴿ᭄Mᴬᴰ Kᴵᴺᴳ༒ ツ :
baharii iy
2026-08-18 10:29:25
1
user698339674177 :
kwani walikua hawajui kama hapo palijazwa palikua ni mto bahari
2026-08-18 08:15:56
4
user8110766631755 :
hapo palikua na bahari zamani ndio likajengwa daraja, pakafukiwa hayo maji ikatengezwa barabara, kwa mujibu wa historia na picture zipo zikionesha hali ilivyokua kabla
2026-08-18 16:39:16
4
marosa :
hio ni bahari ilifukiwa,washafukua mambo
2026-08-18 06:28:33
4
sarah kidd⚘️🕊 :
Ngoja nipande boti mapema nikimbie kwetu kabla mambo hayajawa makubwa😂😂 na kazi naacha
2026-08-18 15:06:12
0
only one :
apo ni bahari ila ni Bora wangefanya pakawa na daraja 😅😅 yaan pambe kabisa
2026-08-18 04:59:28
2
To see more videos from user @youngafricanfans, please go to the Tikwm
homepage.