@bizoza.herbalist.p:

Bizoza Herbalist product
Bizoza Herbalist product
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 19:53:43 GMT
99851
3771
177
342

Music

Download

Comments

officialmwana14
official-mwana🧕🕋❤️🫀 :
ongea haraka haraka nipo period
2026-08-19 13:33:43
34
nelly8066
Nelly :
twende kwenye point bana maelezo mengi sana 😂😂
2026-09-17 09:02:36
0
mariamnehemiahester
Mariam Nehemiah Este :
ninao na nilitumia dawa😋
2026-09-06 13:26:24
4
ebidoryjohn606
ebidory606 :
me nielekeze halaka sana nifanye kaz
2026-09-16 08:00:00
0
dative.oo
dative :
Ma pacha 4vip?
2026-08-19 04:50:02
0
nalehe2006
BAL3HE_ZANZIBAR :
Kaka una mapacha wangapi
2026-08-18 16:54:40
13
angelmraha
anger :
bs nisaidiee mbunu mm nipate mapacha
2026-08-19 11:22:35
1
powerhourse3
#MMM# :
mara pa kazaa watoto 5 😊
2026-08-19 15:47:13
2
cnagaex
CNAGA EX :
Dr pole lakin napingana na ww.Kwa mwezi mwanamke anaivisha yai 1tu.mwezi huu la upande huu mwez ujao la upande mwengine.Mapacha wanapatikana na yai moja tu..baada ya mbegu kukutana na yai,yai hilo hujigawa lenyewe na kuwa mapacha sio kwamba eti ni mayai mawili kwa mwez mmoja apana.
2026-09-14 12:44:37
2
nhabe.atenikojo
NHABE ATENIKOJO :
Maelekezo uongo mwingi maelekezo
2026-08-18 15:10:23
0
user12381036841685
AsmaMwadin :
mbona maelezo ni mengi rudia utufahamishe vzuri
2026-08-19 08:17:00
6
latifaa170
LATIFA🌻 :
we unao😳
2026-08-19 12:56:16
1
masamijudith
Masami Judith :
je kwa alie na ovar moja anaweza kupata mapacha?
2026-08-19 11:55:46
2
for.erder
for :
jee kama mayai hayapevuke wafanyaje
2026-08-19 09:09:05
0
swadati.mmbaga
KISTEN BUILDERS :
nataka ya Mbuz zangu
2026-08-20 07:03:10
2
user18765116905808
Zay qiut :
mm nataka mapacha wakike tupu
2026-08-19 12:28:01
0
user8843900975288
juma maluki :
apana ni milion20
2026-08-20 15:21:29
0
supernaturalman7
Eric Mwakingili :
ukisema sio ukoo/kibiologia unakosea sana, sema kibiologia(kuridhi) sio njia pekee yakupata mapacha.
2026-08-18 14:08:02
1
airatyziacka1
airatyziacka1 :
tuonyeshe basi
2026-08-27 11:42:10
0
ashyssark
Pretty Aynat🌺🦋🌺 :
Izo mbegu z laki nane zingekua pesa daah🤌😇
2026-09-05 15:05:48
1
kuaniwakifalmejonathani
STAR KING FASION STORF :
wewe una wangapi?
2026-08-30 09:56:41
0
pillycosmas
pillycosmas :
Tuambie bc
2026-08-19 15:35:40
1
hatiti.mohamed.mo
Hatiti Mohamed Mohamed :
niambie basi kaka, Mimi natamani 6
2026-08-19 11:57:22
1
dindeagrovet5
ABNAJIM IS-HAKA :
wewe unao wangapi
2026-08-18 16:00:46
0
user9475995050802
mnmn :
tuelekeze
2026-08-18 09:06:34
0
To see more videos from user @bizoza.herbalist.p, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About