@soda1134:

KD1111
KD1111
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 20:13:43 GMT
55864
1724
78
180

Music

Download

Comments

nicopeter27
nicopeter27 :
na kiongozi mwenye nguvu zaidi Africa ni Father Kitima
2026-09-01 20:16:22
12
anety162
anety :
TAJILI WA DUNIA WA KIDINI NI PAPA CATHOLIC CHURCH
2026-09-14 14:47:05
2
simgonja0
simgonja :
umemsahau raisi Samy
2026-08-17 21:55:03
5
chucho.1214
Cartoon :
papa akisema leo nchi fulani ianguake kiuchumi anaweza ni kutoa order tu.
2026-09-14 11:21:43
2
john.kajumuro
Johnson Kajumuro :
sijawah kusikia kuwa kuingoz wa iran ni wa 5 ndo leo
2026-09-10 04:06:39
1
gordiusmasillago
gordiusmasillago :
Papa wa kwanza duniani aliteuliwa na Mungu alikuwa anaitwa peter
2026-08-30 09:10:54
3
user7208301961459
user7208301961459 :
alafu khaminei sio rahisi acha uongo
2026-09-02 16:22:56
0
geraldluiso
geraldluiso :
how about the UK and France
2026-08-30 09:33:41
0
malaika.cute7
Malaika cute :
Catholic awa ni matajili wa dunia💯
2026-08-28 08:34:30
3
mayombe95
Mayombe :
kama ulikua haulijui Hilo wewe bado sana okoka kumcha Bwana ni chanzo Cha maarifa Dunia haita iweza jisalimishe kwa Yesu ushauli wangu.
2026-08-23 20:33:23
5
captain.john966
Supreme leader Nyabuto fx :
haha ni kweli bro
2026-09-14 06:55:06
1
rehema.macha
Rehema Macha :
kweli mkuu
2026-09-12 12:36:44
1
josepfrihx2
Mtumishi Odimary :
Ufunuo 13:12 inamwelezea mnyama wa pili ambaye atampa nguvu mnya wa pili ambaye jeraha lake limepona. ukisoma Biblia unapata maarifa yote upapa ndo unatawala dunia na unabii ulishatabiriwa kuanzia Daniel mpaka ufunuo sasa Wasabato tukifundisha unabii watu wanasema tunashambulia madhehebu iko hivyo hakuna watu wanaelewa dunia inakotoka na inakoenda km wasabato
2026-09-14 13:31:50
2
user634234589
frankline baya :
nimekufuatilia mwalimu mda mrefu na kweli unayotuelezea ni kweli kabisa ,bigup google
2026-09-12 13:58:41
1
aristidimrema
Aristidi Mrema :
kwahiyo Mimi hunitaji
2026-08-18 17:43:08
1
user6215719369460
gaburiel mwapinga :
kaka nakuelew
2026-09-05 18:52:01
1
ally49949
Ally :
Naamini Kweli aisee
2026-08-18 06:27:20
1
gordiusmasillago
gordiusmasillago :
Kweli kabisa chief
2026-08-30 09:02:46
1
sinderibuye.hassa
SINDERIBUYE Hassan :
hakuna mwenyengumvu hapa dunian dunia sio yawo
2026-09-15 05:12:59
0
user415459761519
DECLARE MUSHI :
mm ninajua kiongozi wangu ni MUNGU wa mbinguni na siyo mwanadamu amelaaniwa mtu yule amtegemeeya mwanadamu kama kinga yake hiyo list yako mm siungi mkono
2026-09-21 13:16:07
0
mrombo.welding
mrombo welding &Aluminum :
viongozi wazito san
2026-09-16 01:50:51
0
omarikhamisi883
OMARI KHAMISI :
Ni kweli
2026-09-20 17:39:40
0
moro_iphone_dealer
OTILE IPHONE DEALER :
Umejua leo
2026-09-17 19:21:03
0
ismailomar6105
🔵 Ismail Care TZ ✔️ :
sasa haiko ivyo Tena bro imebadilika Marekani ni blablaa tu za kuiba mali nchi zingine hata juzi kati walienda kuiba Venezuela[Smile][Thinking]
2026-09-19 04:52:07
0
mussa.said433
Mussa Said :
fact.
2026-08-18 09:20:49
0
To see more videos from user @soda1134, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About