Ivi hiyo barabara ukipandisha nayo c ndo unaenda kwenye ile hospital eehh???
2026-08-18 09:53:15
8
Inosent silayo(rapture) :
tuliopata kipaimara hapo 2010 tulisota miaka miwili,tulilima mashamba ya ubetu,mamtarakweni na kahe.chini ya mwalimu Ewald.tujuane hapa,mimi kijana wenu Baraka
2026-08-18 12:16:51
21
It's_gl_ry💕 :
Nani anakumbuka akiwa anaenda sokoni ukifika hapo kanisani unasimama unafanya ishara ya msalaba kwanza😁
2026-08-18 09:58:18
11
Rapfaeli ,Rapfaeli👊 :
Tulio soma mafundisho hapo tukafundishwa na mwalimu gidioni na ewad mpo wapi
2026-08-20 11:28:30
8
its.priscy :
wa useri soko kuu
2026-08-19 20:02:42
1
Reen🤍 :
parokia yangu nimebatizwa apo nimepata komunyio na kipaimara apo🥰❤️❤️
2026-08-18 10:00:32
6
@ :
kweli pamebadilika sana miaka kumi na sita sasa sijafika hapo..Nimebatizwa hapa komunyo pamoja na kipaimara na hata shirika la utoto pia tukiwa na pandri SABASI🥰❤️❤️
2026-08-18 08:26:39
7
kisang'una 💥 :
nyumban kwetu pazuri Miss you sana
msalimie parde mapendo
2026-08-18 07:07:08
9
Aggah :
hiyo barabara ya karume imekua nzuri sasa😁
2026-08-18 18:25:00
1
thatgirlvinnah🇮🇳🦋 :
tuliyosoma mafundisho kipindi kila tunajaza kanisa wazazi Wanakaa njee kwenye kapaimara na komunio tujuane
2026-08-21 13:36:53
3
Aggy :
parokia yangu pendwa
2026-08-18 06:50:38
0
Hosii beauty point 😍 :
anaejua iyo kwaya anitajie jaman plz
2026-08-20 13:42:12
0
angel Iddy :
nyumbani kwetu kabisa na parokia yangu kwa Mzee bazili kimario
2026-09-02 14:59:18
1
Mama Mchaga :
nimebatizwa usseri
2026-09-01 19:52:51
1
vai :
nimepamis hatar
2026-08-21 20:35:53
1
Glady G :
Mbn apo sio useri!!!
2026-09-09 06:52:43
0
Neema Yolanda :
Usser ndo kwetu napapenda namwomba Mungu anipe Mwenzangu nibaki useri
2026-08-18 17:42:45
3
Tarsila :
Wa kimanyatu tujuane 🥰
2026-08-19 11:20:10
2
Khanje Leandry :
parokia mamh katika vekarieti yetu
2026-08-18 07:07:04
3
happy :
sio Mero labda kimongoni maana Nina mda sana sijaenda moshi
2026-08-18 09:35:46
2
Regan Julias :
kanisa la neema za mungu
2026-09-21 12:05:44
1
Tesha Gasto :
kanisaletu💯
2026-09-03 12:12:35
1
Mytime :
Anaejua jina la wimbo na kwaya walioimba anitajie please.
2026-08-20 12:43:12
0
To see more videos from user @kilimanjaro_live, please go to the Tikwm
homepage.