@madrasatrawdhwa1: # NI WANAFUNZI WA MADRASAT RAWDHWA LAKIN MAISHA YETU NI YA FURAHA MAANA TUMEKUWA NDGU WA MUDA MREFU NA ALLAH ATUJAALIE TUWE WENYE KUPENDANA KATIKA KILA JAMBO๐๐๐๐๐
๐jmn!, Birthday boy Mashallah he still happy ๐, Allah awazidishie upendo kwaajil ake๐ซ, nawapenda pia kwaajil ya Allah โค๏ธ
2026-08-18 04:42:43
1
prince sy :
god give long life zakaria ๐๐๐ameenhaapy brirth day zakariya๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ง๐ง๐ง๐ง๐ง๐ง๐ง๐๐ง๐๐ง๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-08-17 21:26:12
1
Miss b0ss :
akuwe akimpendeza allah..
awe na maixha marefu, nampendaโค๏ธ๐ซ
kher yake๐
2026-08-17 20:31:39
5
farid ridhwan :
hongera best friend hiy madras ipo sehem gan
2026-08-17 21:52:03
1
tiphoch๐ :
Allah awahifadh wote na awape furaha na amani, pia maisha maref yeny mwisho mwema ๐ฅฐโค๏ธโค๏ธ
2026-08-17 21:01:21
7
Sorun รรถzรผcรผ ๐ป :
Ameen thuma amin inshallah โค๏ธ
2026-08-18 03:48:36
1
dauraty๐น :
allah ampe umri mrefu zakaria na ampe kila hitaji la moyo wake ๐๐๐ฝ
2026-08-17 20:33:43
2
yousef :
Allah awahifadhi nawapend san hawa madog
2026-08-18 06:59:15
2
Shadidy Mpumbacha :
hongera sana nawapenda sana muwe na furaha daima
2026-08-18 10:14:29
2
R.B.Rams๐ฎ๐ท๐ธ๐ด :
Masha Allah โ๏ธ
2026-08-18 16:38:38
1
Sefu Mkubwa :
kaswida naipataje hii
2026-08-19 07:27:27
0
Zenah mohamed :
Maashaallah Allah awazidishie vipaj vyenu
2026-08-18 16:02:01
0
๐Chunah๐ :
heri ya kuzaliwa babaa, wenzio wakupenda๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-18 11:02:54
0
Said Rugelelo :
Hahahah zakariaaaaa
2026-08-18 09:25:12
0
Azmath :
nawapenda sana vipenzi vyangu Allah azid kuwapa umry wakuzidi kumjua yeye mkamilifu awezi kujitokeza maana hata mashekh Wana Yao tusiyo yajua akika Allah atustili waja wake na atupe mwisho mwema๐คฒ
2026-08-18 13:03:59
0
ukhty jailan :
inshaallah, nawapend kwaajil ya Allah azidi kuwaweka inshaallah
2026-08-18 13:24:01
0
penha :
her ya kuzaliwa Allah akup afya njem akuepushie na mattatiz
2026-08-18 09:20:46
0
Said Rugelelo :
Allah aisimamie kesho yenu
Masheikh WA baadae nyie
ALLAHUMMAAMIN ๐
2026-08-18 09:26:31
0
SWANKY.. :
mashaallah nawakubali saaaaaaaร na
2026-08-18 07:36:56
0
salym_kipusa :
hakuna kitu kizuri kama Amani ya moyo
mashallah
2026-08-18 06:14:00
0
Aisha Mohammed :
[Sticker] nawapenda
2026-08-19 18:20:25
0
Omary Abrahamani :
hahahahahahaha
2026-08-17 20:45:53
1
๐ฆlatty๐โค :
hongera allha akfnyie wepes
2026-08-18 06:23:49
0
khamissa :
amin
2026-08-18 08:30:59
0
S"H"O"K"E๐ฃโ :
Allah awape umri mrefu wenye mafanikio adumishe upendo wenu
2026-08-17 21:36:07
0
To see more videos from user @madrasatrawdhwa1, please go to the Tikwm
homepage.