hapo umeshachelewa shule. redio free Africa the sound of Africa
2026-08-18 03:36:46
645
nibretstudio :
baaara baara kabisa hujambo mpenzi msikilizaji wa redio free Africa,imetimu saa 12 na nusu kwa saa za Africa mashariki.....
karibu katika kipindi chako pendwa cha watanzania tuzungumze magazeti
2026-08-18 07:21:19
58
Ms_ no one😎 :
wakishua hawawezi kuelewa maumivu ya hili beat😂
2026-08-18 04:40:21
226
wilmixespro :
Naam msikilizaji wa redio free afrika, imetimu saa 12 na nusu kwa saa za afrika mashariki, kipindi ni watanzania tuzungumze magazeti
2026-08-18 03:34:07
481
Victor sweetbeat :
dah inshu za school monie😂😂🙌🏽
2026-08-18 06:40:48
0
🌹fey🌴 :
radio free africa😂😂😂
2026-08-18 08:53:56
1
davis✝️ :
hapo unakimbizana kunywa chai ya moto na wali wa jana, umeshachelewa
2026-08-18 04:55:58
73
Just_dee🌴 :
yan nilikuwa naona wazaz ndo wanafaidi hadi waskilize taarifa ndo waamke ila mimi natafta soks😂
2026-08-18 05:23:17
86
Elo khan :
ilikua lazima mtangazaji aanz na neno Naam Barbaraa kbsa
2026-08-18 04:11:07
123
🙉🙉 :
we millennium😂😂
2026-08-18 08:57:29
0
Baraka Lema :
Nikiskia hii nikiwa home basi nishachelewa namba
2026-08-18 02:00:54
83
Masha store💫 :
Hili beat limeniumiza mara nyingi sana apa yenyewe nmelisikia nmejihisi kuumia😂😂😂 maana nilikuw nikisikia ivo najua basi nishachelewa namba na kama ni zamu ya mwalm mkali unajua kbs leo ni fimbo zinanihusu😂😂😂😂😂😂😂dah
2026-08-18 04:26:46
40
MUU :
ilivyokuwa ya ajabu utaiskia siku za shule tu ila jumamos n jumpil huwez skia
2026-08-18 04:31:26
30
Sub_Zero :
Hiyo sauti ilikua inanikera sana maana najua tayari kumekucha tena na shule 🤣🤣🙌🙌
2026-08-18 04:07:07
53
Shuu memez 💃 :
lengo lako tupate presha maana ni kitambo tumezeeka sasa🤣
2026-08-18 07:12:33
8
Revo Katusi :
😂😂😂nipo napaka mafuta ya jumbo niwai namba
mwanangu kwa hii naku follow
2026-08-18 05:54:32
10
Ben Mwanantala Mzalendo :
Hii ni radio feee Afrika ,na sasa ni tuzungumze magazeti karibu sana msikilizajiii😃😃😃
2026-08-18 05:44:41
13
TANZANITE COMPUTERS :
Hiyo sound ukiisikia bado uko nyumbani , USHACHELEWA NAMBA
2026-08-18 05:38:17
17
Grey ⁶ :
nilikuwa naumia MDA WA kwenda shule ,bag na madaftar sijui nimevitupa wapi soks na shat sijafua 😂🙌🏾 najiuliz ijumaa nilitoroka wakahesabiwa namba😂😂😂
2026-08-18 05:26:34
16
Mathias :
daah🤣
Yan apo ilikua nikiskia Ivo tayari nishajikojoleaa daah😂
2026-08-18 04:45:46
11
The_Mountain914 :
asubuhi nikiamka kwenda shule😂
2026-08-17 20:44:07
16
red sojer :
kwahiyo wote mlikuwa na redio 😄
2026-08-18 03:16:02
12
Cinch :
lazima nimuone mzee mlangoni na mswaki wake anakuja kuniamsha kwenda shule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 04:44:28
6
Robarti mallya :
tunakuleteaa nipashee😂😂
2026-08-18 02:23:51
14
To see more videos from user @dancoopertz, please go to the Tikwm
homepage.