Ivi broo mbona me nimeshanunua commentator lakin nkiingia kwenye mechi cimckii kabisa. Shida inakua nini
2026-08-17 20:42:40
3
jr :
wameondoa long ball counter wamerudisha quick counter, cf zikiwa na attacking awareness kubwa ni hatar zaidi saiv defending awareness imepunguzwa sana kwa mabeki
2026-08-18 08:24:42
0
Lishaely Mmary :
makipa wanalengwa 2 sisi watu wa smart assist
2026-08-17 20:46:41
2
RAma :
wachezaji wanachokaa harakaa yaaan 😂
2026-08-18 10:32:35
4
Tonybrea :
kak kwanza makipa Wana daka sana
2026-08-17 23:23:18
2
Last spin😎 :
sijawai kufungwa ivi tokea nimeanza game
2026-08-18 10:30:03
2
mdzech gamer :
watabadilika wote ila Diouf never wanang wa diouf gong like
2026-08-18 05:09:56
1
Hacker*⛎ :
ulikua wap
2026-08-18 08:44:02
1
@JORAM The 7th July :
kaka unasema ukweli ,ndio maana nakukubali wewe na @samadian nunez 🔥💪🙏
2026-08-18 05:11:26
1
_Austrolopithecus Africanus🌴 :
beki zinachoma vby
2026-08-19 16:56:34
0
Kevoosports-Tz :
Kaka umeongea reality kabisa tena leo na comment yangu umepata, kaka yaan sahiv through zinapita miguuni mwa mabeki pia sometimes beki wanamsindikiza CF yan ile physical contact haifany kaz kwa mabek na ile Defensive awareness haikubal kabisa yan😏
2026-08-18 04:44:34
2
A-mãñæ....🎶🎹 :
me adi niliona smart asst inakera
2026-08-19 06:45:44
0
stopper :
kaka tunasubili kujua kutumia visa card kweny kununua coin na wachezaj.
2026-08-18 18:25:17
0
Yussuphy :
mbona kikosi hakilogi ini kwa saa kama una taka kurejesha
2026-08-17 20:41:09
0
c.h.r.i.x_26 :
ao wanaotufungaa wenyew game halijawakalia kushoto
2026-08-18 12:48:34
0
lm10.. :
2nawezaj kumpata Thiago alcantara
2026-08-18 12:11:50
0
Djbullah :
Wanataka tununue player kila siku noma 😂
2026-08-19 21:20:21
0
B@biløñB@ïsà 🫵🤓🤏 :
saiv ni Mwendo wa Blitz Tu 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-20 07:27:57
1
done :
MM NILIJUWA NIKWANGU TU KUMBE HATA NYINYI?🤣🤣😂
2026-08-18 15:17:56
0
peter_play_z 🧢 :
vikisi vime-exipire
Konami wanataka watu wanunue vikosi vpya,
watu waspin
2026-08-19 15:02:13
0
Negative Zero :
Sorry kaka naomb unisaidie net unatumia namim nikanunue plz
2026-08-17 20:46:30
1
To see more videos from user @lastbornworldgaming, please go to the Tikwm
homepage.