mwanza alikoshuka Yesu nitapata vitu vyote kutoka kwake❤️❤️🙏
2026-08-18 16:20:50
27
Jesca Jacob :
@🕺kwa yes
2026-08-19 13:08:15
0
Ray.liv@💞💞 :
ulio kuja kusoma comment tujuane😁😁😁
2026-08-18 17:59:22
27
Mrmo Iwaa :
kigoma
2026-08-18 13:26:23
0
SAM :
Kunamtu ataishia kuchanganyikiwa mpaka vyote viishe bila kupata maamzi
2026-08-18 12:01:01
17
Jemoh🍬🍬 :
naenda tabora nachukua gari af naanza kuzungukia hio mikoa mingine na usafir wangu🤜🤛
2026-08-19 11:15:43
7
African girl :
Naenda kwa YESU najua nimepata vyote, tena doubledouble
2026-08-18 06:50:22
14
Emmanuel Richard :
kwa yesu
2026-08-19 09:51:11
0
ALOYCE :
Mwanza kwa yesu mengine yote badae
2026-08-18 17:31:15
8
🌹me🌹 :
m naenda kwenye hela kwa yesu stapokelewa kwa dhamb nilizonazo
2026-08-18 09:04:59
7
Mumy Eusebiana & Euppyphania :
mwanza kwa yesu kristo
2026-08-19 11:47:08
1
Ad :
kigoma
2026-08-18 14:38:51
3
Stephano jr :
mwanza
2026-08-18 13:43:43
1
resty :
swara la kufufua yesu ypo atalishugulikia
2026-08-18 07:22:56
1
Abduly Umware :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-08-19 09:15:36
2
🍒Erick🍒🍒 :
wale wa kigoma tujuwane hapa
2026-08-18 16:14:14
2
Elizabeth Sadala :
ningeenda kwa Mwamposa akanifufulie wazazi wangu 😭😭
2026-08-18 23:51:06
0
𝕃𝔸𝕊𝕋𝔹𝕆ℝℕ_𝟙𝟘 🤝 :
mvua inanyesha kigoma sehemugani maana nimesha fika
2026-08-18 20:41:41
4
Erida :
ningeenda kigoma inaponyesha mvua ya Hela nikishapata Hela sinatoa nauli naenda Kwa mwamposa huko huko namkuta na yesu
2026-08-19 09:36:55
2
To see more videos from user @rock.kiddy, please go to the Tikwm
homepage.